Mgeja Mtovu wa Adabu!

Yaani tamko lake lote limejaa mipasho.Maskni mgeja hata hajui anachokifanya
 
Ndo anajiandaa kisaikolojia but pamoja na hilo ujinga nao unaomsumbua mzee mzima, hata adabu hana*ni mshenzy*
 
Anaonesha jinsi viongozi wa ccm walivyo
 

Ndio maana Tanzania haiendelei maana ni akili ndogo inatawala akili kubwa halafu utasikia maendeleo kwa kila mtanzania, kweli maendeleo kwa viongozi kama hawa?
 
Nimecheka sana.Eti huyo
ni mwenyekiti mwenye historia iliyotukuka ndani ya chama na mpambe wa
heshima wa mgombea urais

EL atawanyima sana usingizi,jipangeni muache majungu.
 
Cha kufurahisha EL yeye anaendelea na anachofanya bila kuwajibu..mnabaki mkibwatukiana
Lowasa bana! Anadhihirisha yeye ni mtendaji sio mzee wa porojo,anaona akiwajibu atapoteza muda subirini na leo Jumapili afanye harambee nyingine ili mpate cha kuitisha press next week
 
...tunasubiri matamko mengine njooni...
 

Kwani Mgeja amepewa sh.million ngani? na EL..
 
Ndio maana Tanzania haiendelei maana ni akili ndogo inatawala akili kubwa halafu utasikia maendeleo kwa kila mtanzania, kweli maendeleo kwa viongozi kama hawa?

Huyo mgeja mwenyewe CCM imemshinda huko Shinyanga kutokana na majungu alisababisha Chadema ichukue majimbo manne "4" kwa mpigo........... huyuu Mzee ni njaa tu huwa inamtesaga.
 
Are you serious? Fergie yupo kwenye michezo na pia ni commercial

Je yeye,tamko lake ni mashindano ya ligi gani ?

Najua nilichoandika Ben


EPL iko serious kuliko hizi harakati za kisiasa za serikali ya CCM.. yes, ndiyo maana watu wamepoteza matumaini ya kisiasa chini ya CCM nyumbani na kujitoa stress kwa kuangalia EPL. Mimi binafsi ukiniuliza mjumbe wangu wa CCM serikali ya mtaa simjui ila ukiniuliza wachezaji wa akiba wa timu yangu Wigan Athletics ambayo ilichukua FA cup na kushuka ligi kuu nitakutajia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…