Mgeja aibua tuhuma nzito Barrick

Huyu Mgeja kachemsha, utachimbaje dhahabu itoke dhahabu pekee? migodi mingi duniani (kama si yote) ya dhahabu huwa inatoa na fedha na shaba kwa kiwango fulani.

Ila uwewe umelewa vibaya sana,kazi ipo
 
barrick wenyewe walishaweka wazi kuwa wanapata shaba, gold, silver etc...sasa yeye anatoa tuhuma gani, barik wanaiba wapendavyo na wanaiba waziwazi siku nyingi..
 
Hawa jamaa mambo haya wameanza kutenda toka mwaka 2007, wanachimba na hakuna manufaa yoyote, Hii ni moja ya matokeo ya uwajibikaji wa serikali kwani TMA wapo masaki wanachojua ni kupewa Tour kwenda migodini na kusoma audited report za PWC wa kutoka South Africa. Hii nchi imejaa mapepo, inabidi tuyakemee. Wazalendo Barrick wanalipwa mshahara mdogo ukitoa CEO na Company secretary wazungu haswa makaburu wanalipwa $ 17000 ++ kwa mwezi.
 
Me nazaan nchi hii ni kutumia nguvu ya umma kama tulivo weza kwenye katiba mpya na mchakato ndo ndo unaendelea.

Na mchakato huo wakutumia nguvu ya umma ni muswada ambao utaleta sheria za kuwabana strongly hao wanaojita wawekezaji na moja ya vipengele vya muswada ni kutaifisha kila kitu alichonacho mwekezaji hiyo iwe mara ya kuvunja sheria yoyote ya makubaliano nazan hiyo ndio dawa ya kufuta unyonyaji katika secta ya madini apa Tanzania.
 
Watafaidi wageni watanzania tutabaki kupiga kelele tumeshatawaliwa...ni heri ya shamba la bibi maana watavuna wajukuu ambao kwa stahili wangepaswa kufaidi watanzania na si wageni..mikataba mibovu hizo ndo faida zake kwaa nchi, wachimbe madini walipe mrahaba! kwa nini isiwe tunagawana nao hayo madini kwa asilimia fulani??? Ama tumelaaniwa hata kufikiri??? Ni kweli kiasi kinacholipwa kama mrahaba ndichi tulichositahili??
 
Mgeja anabweka baada ya kushiba ,amenikumbusha ile stori ya sungura baada ya kuingia kwenye ghala na kuanza kula karanga hadi kuvimbiwa akamuomba mwenzake sijui alikuwa fisi vile abweke kidogo ,baadaye akaongeza manjonjo hadi mwenye ghala akashitukia kama kuna mwizi ndani ya ghala lake,huyu mzee siku zote yupo hapo Shinyanga na hiyo habari ni ya siku nyingi,naona anabweka kwa ajili ya kujipanga kwenye chaguzi za magamba,na sisi wenye ghala tumeshituka
 
Hivi kwa ufahamu wako viongozi wetu wote kuanzia mkulu wetu hawajui haya mambo yanayofanywa na hawa wawekezaji? Hii nchi inajengwa na wenye moyo(wakulima na wafanyakazi) na kuliwa na wenye meno(viongozi).
 
Back
Top Bottom