Mgawanyo wa fedha za motisha

Mgawanyo wa fedha za motisha

miggykl2005

New Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
4
Reaction score
3
Naomba kujua jinsi mgawanyo wa fedha za motisha unavyokuwa kwa wachezaji wa mpira wa miguu.mfano juzi Mo ametoa milioni 500,je wachezaji wote watagawana sawa[waliocheza na ambao hawakucheza].Benchi la ufundi na wao wapo kwenye mgao pamoja na watu wengine kama msemaji wa timu msemaji
 
A. Benchi la ufundi la mpira wa miguu linaundwa na watu mbalimbali wenye majukumu tofauti ya kusaidia timu kufanikisha malengo yake. Kawaida linajumuisha:

1. Kocha Mkuu (Head Coach) – Kiongozi wa benchi la ufundi, anayehusika na kupanga mikakati ya mchezo, mazoezi, na uchaguzi wa wachezaji.

2. Kocha Msaidizi (Assistant Coach) – Husaidia kocha mkuu katika kupanga mazoezi na mbinu za mchezo.

3. Kocha wa Makipa (Goalkeeping Coach) – Anayefundisha na kuwanoa makipa pekee.

4. Kocha wa Viungo au Maandalizi ya Kimwili (Fitness Coach/Conditioning Coach) – Anasimamia mazoezi ya kuongeza uwezo wa mwili, stamina na nguvu za wachezaji.

5. Daktari wa Timu (Team Doctor) – Anahakikisha afya ya jumla ya wachezaji, kushughulikia majeraha na matatizo ya kiafya

6. Mtaalamu wa Tiba ya Mifupa (Physiotherapist) – Anahusika na tiba ya majeraha ya misuli na viungo.

7. Mchambuzi wa Mchezo (Performance Analyst/Video Analyst) – Anachambua mechi kwa kutumia video na takwimu kusaidia benchi kupanga mikakati bora.

8. Mtunza Vifaa (Kit Manager) – Anahakikisha vifaa vya mazoezi na mechi vipo na katika hali nzuri.

Katika baadhi ya timu kubwa kuna pia:

Mtaalamu wa Saikolojia ya Michezo (Sports Psychologist)
Nutritionist (Mtaalamu wa Lishe)
Scout (Mchunguzi wa Wachezaji)

B. Wachezaji wote idadi nzima ya wachezaji waliosajiliwa kwa Msimu Husika.
🚨 𝗦𝗤𝗨𝗔𝗗 𝗬𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 [ MSIMU WA 2024/2025 ]
Wachezaji wa Simba SC walioingizwa kwenye mfumo wa (CAF) :

𝗚𝗼𝗮𝗹𝗸𝗲𝗲𝗽𝗲𝗿𝘀 :

01. 🇬🇳 Moussa Camara
02🇹🇿 Ally Salim
03 🇹🇿 Hussein Abel.
04.🇹🇿 Aishi manula
05 🇹🇿 Feruzi
(6.)* ((((( Ayoub lakred))))))
𝗗𝗲𝗳𝗲𝗻𝗱𝗲𝗿𝘀 :

04. 🇹🇿 Shomari Kapombe.
05. 🇧🇫 Valentine Nouma.
06. 🇹🇿 Mohamed Hussein.
07. 🇹🇿 Kelvin Kijili.
08. 🇹🇿 David Kameta.
09. 🇨🇮 Chamou Karaboue.
10. 🇹🇿 Hussein Kazi.
11. 🇨🇲 Che Fondoh Malone.
12. 🇹🇿 Abdulrazak Hamza.

𝗠𝗶𝗱𝗳𝗶𝗲𝗹𝗱𝗲𝗿𝘀 :

13. 🇳🇬 Augustine Okejepha.
14. 🇹🇿 Yusuh Kagoma.
15. 🇨🇩 Elie mpanzu
16. 🇨🇩 Fabrice Ngoma.
17. 🇹🇿 Mzamiru Yassin.
18. 🇨🇬 Debora Mavambo.
19. 🇨🇮 Jean Charles Ohoua.
20. 🇹🇿 Denis Kibu.
22. 🇿🇲 Joshua Mutale.
23. 🇹🇿 Ladaki Chasambi.
24. 🇹🇿 Edwin Balua.

𝗦𝘁𝗿𝗶𝗸𝗲𝗿𝘀 :

25. 🇺🇬 Steven Mukwala.
26. 🇨🇲NLeon Ateba
28. 🇹🇿 Valentino Mashaka.

C. Waganga na walozi Gentamimav
 
Hahahaha maelezo meeengiii mazuri lkn hujamjibu swali lake
 
Basi atakuwa na Mtindio wa Ubongo kama hajaelewa.

1. Benchi la Ufundi.
2. Wachezaji wote.
3. Wataalam waganga nk.

Yaani Milioni 500,00,000÷40= 12,500,000

Hivyo basi kila mchezaji kocha, mchezaji nk watapata milioni kumi na mbili na laki tano.

12,500,000/ =
 
Naomba kujua jinsi mgawanyo wa fedha za motisha unavyokuwa kwa wachezaji wa mpira wa miguu.mfano juzi Mo ametoa milioni 500,je wachezaji wote watagawana sawa[waliocheza na ambao hawakucheza].Benchi la ufundi na wao wapo kwenye mgao pamoja na watu wengine kama msemaji wa timu msemaji
Hugawana sawa
 
A. Benchi la ufundi la mpira wa miguu linaundwa na watu mbalimbali wenye majukumu tofauti ya kusaidia timu kufanikisha malengo yake. Kawaida linajumuisha:

1. Kocha Mkuu (Head Coach) – Kiongozi wa benchi la ufundi, anayehusika na kupanga mikakati ya mchezo, mazoezi, na uchaguzi wa wachezaji.

2. Kocha Msaidizi (Assistant Coach) – Husaidia kocha mkuu katika kupanga mazoezi na mbinu za mchezo.

3. Kocha wa Makipa (Goalkeeping Coach) – Anayefundisha na kuwanoa makipa pekee.

4. Kocha wa Viungo au Maandalizi ya Kimwili (Fitness Coach/Conditioning Coach) – Anasimamia mazoezi ya kuongeza uwezo wa mwili, stamina na nguvu za wachezaji.

5. Daktari wa Timu (Team Doctor) – Anahakikisha afya ya jumla ya wachezaji, kushughulikia majeraha na matatizo ya kiafya

6. Mtaalamu wa Tiba ya Mifupa (Physiotherapist) – Anahusika na tiba ya majeraha ya misuli na viungo.

7. Mchambuzi wa Mchezo (Performance Analyst/Video Analyst) – Anachambua mechi kwa kutumia video na takwimu kusaidia benchi kupanga mikakati bora.

8. Mtunza Vifaa (Kit Manager) – Anahakikisha vifaa vya mazoezi na mechi vipo na katika hali nzuri.

Katika baadhi ya timu kubwa kuna pia:

Mtaalamu wa Saikolojia ya Michezo (Sports Psychologist)
Nutritionist (Mtaalamu wa Lishe)
Scout (Mchunguzi wa Wachezaji)

B. Wachezaji wote idadi nzima ya wachezaji waliosajiliwa kwa Msimu Husika.
🚨 𝗦𝗤𝗨𝗔𝗗 𝗬𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 [ MSIMU WA 2024/2025 ]
Wachezaji wa Simba SC walioingizwa kwenye mfumo wa (CAF) :

𝗚𝗼𝗮𝗹𝗸𝗲𝗲𝗽𝗲𝗿𝘀 :

01. 🇬🇳 Moussa Camara
02🇹🇿 Ally Salim
03 🇹🇿 Hussein Abel.
04.🇹🇿 Aishi manula
05 🇹🇿 Feruzi
(6.)* ((((( Ayoub lakred))))))
𝗗𝗲𝗳𝗲𝗻𝗱𝗲𝗿𝘀 :

04. 🇹🇿 Shomari Kapombe.
05. 🇧🇫 Valentine Nouma.
06. 🇹🇿 Mohamed Hussein.
07. 🇹🇿 Kelvin Kijili.
08. 🇹🇿 David Kameta.
09. 🇨🇮 Chamou Karaboue.
10. 🇹🇿 Hussein Kazi.
11. 🇨🇲 Che Fondoh Malone.
12. 🇹🇿 Abdulrazak Hamza.

𝗠𝗶𝗱𝗳𝗶𝗲𝗹𝗱𝗲𝗿𝘀 :

13. 🇳🇬 Augustine Okejepha.
14. 🇹🇿 Yusuh Kagoma.
15. 🇨🇩 Elie mpanzu
16. 🇨🇩 Fabrice Ngoma.
17. 🇹🇿 Mzamiru Yassin.
18. 🇨🇬 Debora Mavambo.
19. 🇨🇮 Jean Charles Ohoua.
20. 🇹🇿 Denis Kibu.
22. 🇿🇲 Joshua Mutale.
23. 🇹🇿 Ladaki Chasambi.
24. 🇹🇿 Edwin Balua.

𝗦𝘁𝗿𝗶𝗸𝗲𝗿𝘀 :

25. 🇺🇬 Steven Mukwala.
26. 🇨🇲NLeon Ateba
28. 🇹🇿 Valentino Mashaka.

C. Waganga na walozi Gentamimav
Hapo namba C kuna kitu unakitafuta mkuu na utakipata.
 
Umetiririka vizuri lakini hujajibu swali la mtoa hojakuhusu mgawanyo wa bonas.
Ninavyojua waliocheza wanakipwa zaidi ya waliokuwa benchi na ambao hawakuwemo kwenye list.
 
Tuanzie hapo kwani ww unacheza NAMBA ngapi?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom