mgao wa umeme:waungwana tulonge

Tatizo la umeme limesababishwa na serikali kukubali makampuni binafsi ya kuuza umeme. Makampuni haya ndiyo yamekuwa yakiwahonga makatibu wakuu wa wizara hii toka awamu iliyopita, ili kwamba nchi ionekane ina tatizo la umeme ili mradi wao waendelee kuvuna. Wafanyabiashara wengine ni wale wa mafuta na wauza majenereta!! Hayo ni maoni yangu tu. Lakini leo Jairo katudhihirishia haya ninayoyasema. Toka lini bajeti ikatengenezwa na Katibu wa wizara?
 
Back
Top Bottom