Hae! Umenikumbusha mwaka jana jk alienda marekani akaona jenga halina umeme akacheka akamwuliza obama kumbe hata nyie mna mgao wa umeme. Obama akamwambia huo ni ubalozi wa tanzania, jk akachoka. Inaonekana ubalozi wa tz kule ni kivutio kwa wamarekani. Naunga hoja. Haa haa!