jamani kwa wana JF huku Kijichi umeme ilikatika saa 11.00 alfajiri mpaka sasa hivi saa 2.20 usiku hakuna dalili za kurudishwa tujue walikuwa wanatuzuga kwa ajili mya sikukuu ya pasaka ndo waanze mgao rasmi nini
hii hoja yako inafaa kuwa hapaTech, Gadgets & Science Forum? lkn kwa kukusaidia tu ni kuwa tanesco imesema hakuna swala la mgao na kwamba kukatikakwa umeme kunasababiswha na uchakavu wa mitambo yao ila umeme unaozalishwa unakidhi viwango vya watanzania