Mgao wa umeme rasmi waanza

Mgao wa umeme rasmi waanza

fungamesa

Senior Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
128
Reaction score
13
jamani kwa wana JF huku Kijichi umeme ilikatika saa 11.00 alfajiri mpaka sasa hivi saa 2.20 usiku hakuna dalili za kurudishwa tujue walikuwa wanatuzuga kwa ajili mya sikukuu ya pasaka ndo waanze mgao rasmi nini
 
hii hoja yako inafaa kuwa hapa Tech, Gadgets & Science Forum? lkn kwa kukusaidia tu ni kuwa tanesco imesema hakuna swala la mgao na kwamba kukatikakwa umeme kunasababiswha na uchakavu wa mitambo yao ila umeme unaozalishwa unakidhi viwango vya watanzania
 
upo nje ya jiji, hilo sio tatizo ni hali ya kawaida, njoo mikocheni full mwanga
 
Back
Top Bottom