Mwanza mwanza mwanza sasa inakula mgao wa umeme wa zaid ya masaaa sita kweli nchi ya kusadikika no shidaaa
Mengi amewahonga Wafanyakazi wa Tanesco wasio waaminifu ili wafanye Hujuma ili Mhongo aharikiwe, huo Mgao wa Umeme ni Hujuma za Mengi si kwamba kana Tatizo.
Mgao wa umeme upo nchi nzima si Mwanza tu.Hi hali wanaficha kutangaza jambo ambalo ni uupuzi mtu.Serikali ikubali na ikiri waziwazi imeshindwa.Ushahidi upo waziwazi kutoka kwa mameneja kuwa mgao upo ila wameonnywa kutangaza ili kuficha aibu.Kwa kuogopa kauli ya itakuwa historia
This is called irrational thinking
Samahani je unaweza kuandika hii kwa kiswahili?