Mgao wa umeme mk kilimanjaro

Ombeni w lema

Member
Nov 16, 2010
22
1
Wadau sijawai kuona mkoa unao sumbua kwa umeme kama mkoa kilimanjaro hasa wilaya ya HAI MASHARIKI.kwa wiki tunapata umeme mara mbili tu mchana,siku zinazo fuata ni usiku na kukatika asubui.sasa nauliza tulio jiajiri na tunategemea umeme familia zetu si watakufa njaa?na umasikini ndo unajongea.kama ni hivyo uchumi wa nchi utapanda lini?
 
Mkuu sio K'njaro peke yake mi nipo Arusha (Geniva of Africa) kwa wiki umeme unapatika mara 3 tu mchana, SIJUI HAYA NDO MAISHA BORA TULIYOAHIDIWA!!!! INAUMA SANA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom