Mgao wa B2! LMB7 nao wamepata?

Mgao wa B2! LMB7 nao wamepata?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,888
Reaction score
831,219
Kuna fujo JF .. Fujo za wakongwe wa LMB7 ambao walikuwa wameweka mgomo baridi baada ya maslahi yao kuingiliwa kwa kasi kubwa na machawa machachari

Kuna uwezekano mkubwa waliona heshima yao ndani ya chama imeshuka na hawathaminiwi tena hasa baada ya kitengo cha propaganda kuhamishiwa Masaki

Kuna kila dalili kulikuwa na mvutano wa chini kwa chini kati ya LBM7 na machawa wa mumie
Falsafa ya LMB7 ni kulinda na kukitetea chama wakati falsafa ya chawa ni kulinda na kutetea kikundi kidogo ndani ya chama!

Hii coming back ya LMB7 ni wazi wana mwelekeo wa kuishinda vita.. Na hapo si kwa hoja bali vioja na ujinga mwingi kama wa chawa tuu

Coming back ya LBM7 ni wazi kitengo ama kimerudi kwao ama mtu wao ndio kashikilia kibubu kwasasa

All in all akili na LMB7 NA CHAWA ni chanda na pete.. Miandiko ni ileile
Uzushi ni uleule
Ujinga ni uleule
Na wote hao wawili adui yao mkubwa ni LISSU HECHE NA CHADEMA!
 
CCM hamnazo
1771165391586.jpg
 
Back
Top Bottom