Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,414
- 14,716
Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
Makamba alituambia kuna matengenezo November ile yote, Kwahiyo inamaana kile kibano😀 chote bado mgao haukuwa rasmi. Sasa ndio wenyewe sio?Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
Anajua anachokifanya, tunasubiri muda na hautatudanganya juu ya utendaji wake. Amesema tunamuone wivu, sasa tunasubiri muda tu.yalianza matengenezo, ukaja ukame, zikaja mvua kali, sasa matengenezo tena.Nchi inafunguka, sasa tunapumua mmmmhaaaa!!! Kwanza walianza na kukarabati mitambo, na yule bwana kipara akasema watu waliogopa kukarabati kwa kuhofia kutumbuliwa. Akafanya huge transformation ya management, pili akasema mgao unasababishwa na ukame, mungu si athumani mvua zikanyesha.
Sasa wamerudi na propaganda za kukarabati mitambo tena, hapa kuna dili linaandaliwa, watasema ndio solutions za matatizo nyie subirini muone. Ule ujenzi wa stigliers George utapigwa figisu zote mnazozijua. Kweli ina wenyewe.
Toka hapa na Id yako ya kimkakatiSababu za mgao Tanesco wamezitaja kwenye taarifa waliotoa...
.tatizo watu wanapinga tu kila kitu, wengi wao walikuwa mashabiki wa awamu ya 5 ila Sasa wamegeuka pingapinga.
Muasisi wa mauaji utamkumbuka wewe na familia yakoTutamkumbuka Sana uncle Magu chini yake hakukuwa na tatizo la umeme wala maji aliwapiga beat Tanesco hata kabla yakuingia madarakani, kiufupi tunarudi kwenye maisha tuliyoyazoea hii nchi inatakiwa impate raisi ambaye ni mkali asiyependa masiala na mwenye maamuzi magumu sasa huyu Raisi wasasa anaendeshwa kwasababu ni mpole na hana maamuzi magumu so watu watamchezea wanavyotaka.Ukali wa Magu ulisaidia hii kunyooka kulikuwa na taarifa eti maji ya kidatu kupunguza Mara kwa Mara kipindi Cha kikwete lakini tangu aingie Magu Huu upuuzi ulikuwa haupo.
Nyani Ngabu
Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
You cannot have your cake and it too. There should be a tread-off. Kama mnataka Serikali ifanye biashara basi mkubali inefficiencies, deficiencies, shortcomings and otherwise less than reliable and overall poor services with zero liabilities on the Service Provider's side aka government.Wanataka wawachoshe wananchi kwa migao ya umeme ili wakipitisha azimio la kuibinafsisha TANESCO wasipate backlash ya umma
Magufuli alishakufa.Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
Somaliatuonyeshe nchi gani inakupa uraia hapo kwa hapo mimi kesho tu na familia yangu nitaenda kuomba wapi?
Jenga hoja kijana, punguza hasiraToka hapa na Id yako ya kimkakati
Utakuwa umeishi nchi zilizoendelea kiuchumi na kiteknoljia hazitegemei one-trick-pony aka hydro electric power stations zinazomilikiwa na Serikali.Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
Waziri anasaka pesa za kampeni kwani 2025 siyo mbali na yeye anatarajia kutangaza nia ya kuwa mhishiwa rahisi! Acha ikae hivyo hivyo!Unafikiri hiyo ndio sababu? Sasa hivi tukubali yote yatayokuja, kwa kuwa waziri mwenye dhamana yupo kimkakati
Eti mgao kisa wanafanyia ukarabati mitambo!Uko sahihi kabisa. Nimewahi kuishi kwenye taifa moja la magharibi kwa miongo kadhaa, lakini sikuwahi kusikia hicho kituko!
Hata huyo Ma-rope mwenyewe anajua hicho ni kituko, kwa sababu amewahi kuishi Marekani.