Hizi ni coment za mtu anaekula na kulala kwa shemeji alikoolewa dadake, hivyo hawezi kujua hasara inayotokanna na kukatwa katwa kwa umeme!Poleni wajane wa dikteta
nahisi kuna mikataba itasukwa kuja kushtuka mabilioni yameshachotwaUnafikiri hiyo ndio sababu? Sasa hivi tukubali yote yatayokuja, kwa kuwa waziri mwenye dhamana yupo kimkakati
Kivuli cha JPM ndio kipimo cha urais wa Samia. Marehemu aliwazoeza watu vibaya kwa kuwahakikishia ufanisi unaotokana na upendo hata kama ni kwa gharama za kutokuwa mkweli.Kila hitilafu ikitokea inakuwa oh...fulani angekewepo isingetokea!!
Hata mashine zinachoka na kuhitaji ukarabati...
"Mpaka mvua ikichelewa kunyesha itasemwa kwa kuwa fulani hayupo.."
Tusubiri wahusika watujulishe sababu ya mgao na sio kuangalia nani yupo nani kaondoka...
Mkuu hii nchi ni ya cheupe na genge lake la wahuni!R.I.P JPM hii yote ni kufanya jambo kwa kumuwaza JPM asimgekufa ina maana kuna siku umeme ungekatika.
Hawa wanataka kubadili mfumo wa kupokea pesa hawataki pesa wazikose kama kipindi kileee saivi wapo serious kushirikilia kila sehemu vibaki kwa ajili ya vizazi na vizazi vyao .
hii nchi ni yetu sote sio ya watoto wa vigogo mbona nyerere hajatufanyia hivi ila wao wanataka kushika kila kitu huyu aridhi,huyu habari ili kuzuia na kuelekeza propaganda huyu mwingine anapiga msumali matrillioni yakae ndani mwao.
Unaweza kuwa sahihi; lakini hawa waliompa fisadi toka ccm kuwa mgombea wao wa urais wanaweza kuwa hatari zaidi kuliko hawa ccm.... walianz na sababu za ukame tukawa na mgao na ss wamekuja na sababu zingine CCm ni janga la kitaifa
Acha hizo...Tanzania ni ya waTanzania...Mkuu hii nchi ni ya cheupe na genge lake la wahuni!
Unamuonea wivu sababu dada yako hajaolewa.Hizi ni coment za mtu anaekula na kulala kwa shemeji alikoolewa dadake, hivyo hawezi kujua hasara inayotokanna na kukatwa katwa kwa umeme!
Acheni kuishi na hofu ya kitu kisichokuwepo.nahisi kuna mikataba itasukwa kuja kushtuka mabilioni yameshachotwa
Wasukuma mna DNA nyingi za ushambaMimi naikumbuka sana migao ya miaka ya 80 mwishoni na miaka ya 90!
Kwanza usiseme ili jambo likikuwepo miaka yote, kuna kipindi halikuwepo labda kama ulikuwa huish Tanzania.Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
NB: Halafu nani anaamini huu mgao utakuwa ni wa siku 10 tu????? Mimi siamini….
Ni lini halikuwepo?Kwanza usiseme ili jambo likikuwepo miaka yote, kuna kipindi halikuwepo labda kama ulikuwa huish Tanzania.
Sikuwah kushuhudia mgao wa umeme kwa miaka mitano iliyopita kulikuw na kukatika kidogo hasa kama kunaservice inafanyika na ilikuw ni kwa muda mfupi na taarifa mnapewa sasa ule huwezi kuita mgao wa umeme.Ni lini halikuwepo?
Taifa la raia wajinga, wajinga ndiyo waliwao..Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
NB: Halafu nani anaamini huu mgao utakuwa ni wa siku 10 tu????? Mimi siamini….
Urefu wa kambaInadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.

Huo unaokuja ni mgao extraHuu mgao mpya utaanza lini kwa maana tayari tuna mgao kuanzia siku ile january Makamba alipoteuliwa kuwa waziri wa nishati badala ya Kalemani.
Mkuu mimi namshukuru sana Mungu kuzaliwa hapa bongoland, maana kuna time stress zangu zinaisha kwa haya mascenerio yao.Kuna Muda Natamani hata nisingezaliwa Tanzania