Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,367
- 5,887
Umemaliza kula kiporo Cha makande, unakuja JF kupumua (ku-pass wind)'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'.
Picha niliyoiona ni ya unaba mkubwa wa maji tiririka katika water bodies kama vile mito.
Hili litaathiri kwa kiasi kikubwa kujaa kwa mabwawa ya kuzalisha umeme, kitu kitakachopeleke nchi kuingia kwrnye giza kuu.
Nishati ya umeme ni nishati muhimu sana, pengine mtakumbuka jinsi uhabaxwa nishati hii ulivyomng'oa Mh Lowasa kwenye uwaziri mkuu mwaka 2007.
Wito wangu kwa serikali ni kuanza kukipanga sasa maana kufikia mwezi wa nane mwaka huu, hali inaweza kuanza kuwa mbayaa!
Naishauri serikali kukata bajeti ya wizara ya nishati iliyokuwa imeelekezwa kujenga bwawa la umeme kwa 70% katika mwaka ujao wa fedha na kuelekeza fedha hizi kwenye kufua umeme wa dharura.
Napendekeza fedha hizo zielekezwe kwenye kununua ama kukodi meli za kuzalisha umeme wa gesi kiasi cha takriban Megawatt 300-400.
Walewale akina Makamba.'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'.
Picha niliyoiona ni ya uhaba mkubwa wa maji tiririka katika water bodies kama vile mito.
Hili litaathiri kwa kiasi kikubwa kujaa kwa mabwawa ya kuzalisha umeme, kitu kitakachopelekea nchi kuingia kwenye giza kuu.
Nishati ya umeme ni nishati muhimu sana, pengine mtakumbuka jinsi uhaba wa nishati hii ulivyomng'oa Mh Lowasa kwenye uwaziri mkuu mwaka 2007.
Wito wangu kwa serikali ni kuanza kujipanga sasa maana kufikia mwezi wa nane mwaka huu, hali inaweza kuanza kuwa mbayaa!
Naishauri serikali kukata bajeti ya wizara ya nishati iliyokuwa imeelekezwa kujenga bwawa la umeme kwa 70% katika mwaka ujao wa fedha na kuelekeza fedha hizi kwenye kufua umeme wa dharura.
Napendekeza fedha hizo zielekezwe kwenye kununua ama kukodi meli za kuzalisha umeme wa gesi kiasi cha takriban Megawatt 300-400.
Sio tuu mgao bali mvua hakuna mwaka huu kiasi kwamba hata njaa itakua kubwa mwaka ujao..'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'.
Picha niliyoiona ni ya uhaba mkubwa wa maji tiririka katika water bodies kama vile mito.
Hili litaathiri kwa kiasi kikubwa kujaa kwa mabwawa ya kuzalisha umeme, kitu kitakachopelekea nchi kuingia kwenye giza kuu.
Nishati ya umeme ni nishati muhimu sana, pengine mtakumbuka jinsi uhaba wa nishati hii ulivyomng'oa Mh Lowasa kwenye uwaziri mkuu mwaka 2007.
Wito wangu kwa serikali ni kuanza kujipanga sasa maana kufikia mwezi wa nane mwaka huu, hali inaweza kuanza kuwa mbayaa!
Naishauri serikali kukata bajeti ya wizara ya nishati iliyokuwa imeelekezwa kujenga bwawa la umeme kwa 70% katika mwaka ujao wa fedha na kuelekeza fedha hizi kwenye kufua umeme wa dharura.
Napendekeza fedha hizo zielekezwe kwenye kununua ama kukodi meli za kuzalisha umeme wa gesi kiasi cha takriban Megawatt 300-400.
Hata Mimi nimeshangaa pia.. Mvua zinavyopiga hivoMito ipi labda uliyoona yenye ukame?
Kuna mikoa mvua inachapa mfano bwawa la Nyumba ya Mungu maji yapo ya kutosha
Kuna watu mna akili za ajabu Sana yaani hata kwenye ukweli unapinga,ni laana au ugonjwa?
Ni wazo zuri ila una generalization ndani yake. Kuna mikoa mvua wameichoka. Kuhusu bwawa la Mwl Nyerere najua kundi la mafisadi hawapendi likamilike, wanafanya kila wawezalo ishindikane. Ila nakuhakikishia kwa 100% hata waliomuua yule rais kule africa Magharibi wamehukumiwa vifungo vya maisha. Aandaeni makazi yenu vizuri kiama chaja'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'.