Mganga wa kienyeji.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Mimi ni Mganga wa kienyeji toka sumbawanga hasa kwa madawa ya mapenzi kwani nimewasaidia wanawake wengi kurudisha hadhi za ndoa zao ninatibu;
1;kumfanya mwanaume awahi kurudi nyumbani.
2;Awachukie nyumba ndogo wake,
3;Asifanye kazi akitoka nje ya ndoa,
4;Atunzie mshahara wake kwa mkewe baadala ya benki
pamoja na mengine mengi wanawake changamkieni fursa hii adimu kwa msatakabali wa ndoa zenu abiria chunga mzigo wako.
 
thitakiiii..haya madawa yanachanganya akili za watu...nitamtuliza mwenyewe kwa maujuzi yangu...thamahani lakin mganga....
 
thitakiiii..haya madawa yanachanganya akili za watu...nitamtuliza mwenyewe kwa maujuzi yangu...thamahani lakin mganga....

Naona hutaki kunichangia ni wewe tu na roho yako mbaya.
 
halaf dawa zenyewe lazima ziwekwe kwenye mlango wa kizazi na mganga mwenyewe.
 
Habari mganga uliyeelimika
nasema kuwa umeelimika sababu unafanya matangazo hadi JF mkuu nakutakia kazi njema kwa kuwasaidia watu kuokoa ndoa zao
 
Habari mganga uliyeelimika
nasema kuwa umeelimika sababu unafanya matangazo hadi JF mkuu nakutakia kazi njema kwa kuwasaidia watu kuokoa ndoa zao

Nashukuru Mkuu ngoja nitumie fursa.
 
we mwenyewe usikute unachapiwa na shamaba boy
 
Hii sasa kali ya kufungulia mwaka mmejitangaza kwenye vibao barabani na kuwaibia watu sasa umeona uje kutafuta soko humu.
 
Una dawa ya kumfanya apate.kazi yenye mshahara mkubwa na afanikiwe vijiwe vyake vya kuuza supu ya mkia? Manake hela zake namtunzia tayari ila hazitoshi tu.
 
hacha wizi watu washasanuka long...kampe mkeo kumamae zako mnaletea watu matatzo katika maisha...
 
tafadhali ngalikihinja....ushidwe na ulegeeee...sema ameeeen.

mganga mi sina roho mbaya..ni mtazamo tu..ucje niloga bureeee...
 
Nilifikiri utasema unatoka Handeni kwa Msisi kumbe Sumbawanga. Basi weye muongo. Unataka turudi nyumbani mapema watoto waongezeke, Lol. Tumegundua njia sahihi ni kuchelewa kurudi au tusirudi kabisa ili tuwe na uzazi mzuri wenye kupishana vizuri.
Weye wataka kuleta taabu tupu nyumbani. Kwanza weye unaye mke? Weka picha yake hapa tumwone huyo unayemwekea hizo fedha zetu.
 
tafadhali ngalikihinja....ushidwe na ulegeeee...sema ameeeen.

mganga mi sina roho mbaya..ni mtazamo tu..ucje niloga bureeee...
We utakuwa unawaogopa sana waganga... Sishindwi wala silegei
 
dah...waganga wa mapenzi hawashidwi kukubadilisha jinsia...nisije nikafanana na wewe bule wakati mie beaut gil...
 
dah...waganga wa mapenzi hawashidwi kukubadilisha jinsia...nisije nikafanana na wewe bule wakati mie beaut gil...

Utaombwa picha shauri yako we subili tu wakija wenyewe...!
 
si bora picha..kuliko mganga anigeuze mkewe...
 
mi nataka mganga wa kike na awe under 20 years tatizo langu nitamwambia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…