Mganga wa Kienyeji Oysterbay

Mganga wa Kienyeji Oysterbay

Mwanasheka

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
16
Reaction score
4
Hivi kwa nini waganga wa kienyeji a.k.a wapiga ramli hawafungui/hawajengi ofisi zao maeneo ua Upanga, Masaki,Oysterbay? Wengi wao utasikia wako Mbagala,Buguruni..why?
 
Huwezi kuuza maembe ya kufyoza na mihogo ya kukaanga nje ya ukumbi wa Bunge. Hiyo ndiyo maana huwezi kusikia Popo bawa amemshambulia mtu maeneo ya upanga, masaki, oysterbay, mbezi beach wala msasani beach.

Popobawa utamsikia maeneo hayo hayo uliyotaja na washirika wake.
 
Umaskini unaambatana na mambo mengi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hivi kwa nini waganga wa kienyeji a.k.a wapiga ramli hawafungui/hawajengi ofisi zao maeneo ua Upanga, Masaki,Oysterbay? Wengi wao utasikia wako Mbagala,Buguruni..why?
Sababu ni hizi...
1. Walioko huko wengi ni wa serikalini na ndo waenda kwa waganga wakubwa, hivyo kuwawekea waganga maeneo ya majumbani kwao hawataenda kwa waganga hao.
2. Wanapenda sana kwenda kwa waganga walio mbali na maeneo yao ya kuishi. Na ndiyo maana huko Mbagala, Buguruni ulikokutaja kwa waganga kunapaki ma-VX.
3. Kwa sababu ya kwanza hapo juu huwezi kukuta mganga maeneo hayo kwa sababu wateja wanafuata waganga mbali
 
wakijenga masaki watu wa masaki hawatadhubutu kwenda kwao ....ndio maana wanaweka makazi uswahilini
 
Sababu ni hizi...
1. Walioko huko wengi ni wa serikalini na ndo waenda kwa waganga wakubwa, hivyo kuwawekea waganga maeneo ya majumbani kwao hawataenda kwa waganga hao.
2. Wanapenda sana kwenda kwa waganga walio mbali na maeneo yao ya kuishi. Na ndiyo maana huko Mbagala, Buguruni ulikokutaja kwa waganga kunapaki ma-VX.
3. Kwa sababu ya kwanza hapo juu huwezi kukuta mganga maeneo hayo kwa sababu wateja wanafuata waganga mbali

. Hili ndo jibu
 
..Wa huko Masaki nk ndio wanaoongoza kwenda huko uswahilini kutafuta huduma hizo za kienyeji! Ni kama walevi wengi tunavyopenda kwenda kulewa viwanja vya mbali(samahani lakini!).Kitu kingine kinachonishangaza ni kuwa, waganga wengi hapa mjini Eti sio wenyeji,Utasikia/utaona Mganga toka Tanga,Kigoma,s'wanga.Why?kwa nini?Wajameni Tukabidhini maisha yetu kwa Yesu kristu, yeye ni kila kitu ktk yote!Kristu..Tumaini letu!
 
Mnadanganyana humu
mnawajua waganga wa wabunge wanaishi wapi?
wanalipwa sh ngapi?

mimi namjua mganga mmoja anaishi Upanga
na nikukutajia wanaokwenda kumuona hapa na wanalipa sh ngapi sijui mtasemaje

Kila jamii ina waganga wake

wa Masaki wana waganga wao na si lazima waishi masaki

but they can afford kuishi masaki trust me...

Tanzania 98 percent ni washirikina
kuanzia mkuu wa nchi mpaka ombaomba barabarani
cc EMT...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT

kasoro mimi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom