Kweli Yesu mwaka huu amepata watu wengi...Onyesha, unamtishia nani sasa wakati watu tuko na Yesu.
Si yule aliyekua Jirani yake na Shetani kabla hajahamia duniani.Yesu ndo nani mkuu?
acheni mssihara, YESU NI MUNGU.!!!!!!!!!!!Si yule aliyekua Jirani yake na Shetani kabla hajahamia duniani.
Kwani nani amepinga hilo. Kipi chautani kimeandikwa hapa, au hujui shetani alikuwa malaika wa nuru na aliwahi kuishi mbinguni pembeni kabisa ya huyo unayesema ni Mungu?acheni mssihara, YESU NI MUNGU.!!!!!!!!!!!
hapo kwenye dawa ya mgawo wa umeme ndio kanicha hoi..........
MadameX anatengeneza limbwata la kihaya SHUNTAMA
Hakuna kitu hapo..........
Kwani nani amepinga hilo. Kipi chautani kimeandikwa hapa, au hujui shetani alikuwa malaika wa nuru na aliwahi kuishi mbinguni pembeni kabisa ya huyo unayesema ni Mungu?
Nyinyi ndiyo wale wale mnaovamia mada kwa jazba bila kuelewa, nimekusamehe...
Mambo ya Walawi 19.31 Msiwaendee wenye pepo,
wala wachawi; msiwatafute; ili
kutiwa unajisi na wao; Mimi ndimi
Bwana, Mungu wenu
Hiyo ni tafsida tu, Mkuu, anamaanisha nguvu za 'me' za uhakika.
......................................
Historia haiishiwi wino.
Wahaya wame-endelea wana malimbwata ya dizaini nyingi kama:-
1. Shuntama- Hili ni la kumuinamisha kichwa mwanaume, kila wakati amuwaze huyo mwanamke tu.
2. Genda Ugaluke- Ni la kumfanya mwanaume asiende moja kwa moja, awe anarudi na chochote mfukoni.
3. Leta Byona- Ni la kumfanya mwanaume kila atakachopata, apeleke kwa huyo mwanamke, asahau kabisa familia yake!
4. Kaligoligo - Hili ni la kufanya mwanaume akae karibu na huyo mwanamke muda wote, yaani hawezi hata kwenda kwenye mishemishe za maisha zaidi ya kumfuata mwanamke mpaka chooni!
Ndio maana mtaalamu wa teknologia hii ya kuondoa mgao tunamwita Mwanga...