Mganga mashuhuri mjini kote.

Mkuu. Amesha kusafisha nyota nini? Mbona unamsifu?
 
Hakuna kitu hapo..........
 
Mganga kijana huyu ni mganga njaa tu
 
Mmmmmmmmh, na hilo kovu hapo pembeni ya mdomo vp.....

We si unajua hizi kazi zinahitaji moyo, full matatizo, unaweza kuibukiwa na watu wakakupa nakozi halafu wakakuacha ukijiuguza.
 
Mganga kijana huyu ni mganga njaa tu

Kwa hiyo mpaka mtu azeeke ndo unamwamini ni mganga wa kweli????
H
aya bhana kama huyo mzee nae hakupitiaga ujana.
 
Kwa hiyo mpaka mtu azeeke ndo unamwamini ni mganga wa kweli????
H
aya bhana kama huyo mzee nae hakupitiaga ujana.

kwa uzoefu wangu wa kuloga na kuweka mambo yangu sawa kitamaduni wazee wanauzoeefu sana, au unataka nikuonyeshe advataizi?
 
Kama hujui huyu ndio mganga wa Zito Kabwe, mzee wa kuwamaliza mende, panya, sisimizi na viroboto wote
 
Duuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!! dawa ya kuondoa mgao wa umeme????????????????? kweli waganga wanajua kucheza na weakness.
 
kwa uzoefu wangu wa kuloga na kuweka mambo yangu sawa kitamaduni wazee wanauzoeefu sana, au unataka nikuonyeshe advataizi?

Onyesha, unamtishia nani sasa wakati watu tuko na Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…