Mganga atoroka na bibi kharusi

None21

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
34
Reaction score
16
Tukio hili limetokea juzi kuamkia jana. Mamaye biharusi aliambatana na mwanaye kwenda kuchukua dawa itakayo dumisha mapenzi ndani ya ndoa
Mganga huyo mwenye jicho la mwewe alimrubuni bibi harusi na kutokomea nae kusiko julikana
Bwana kharusi anabaki kulia.
Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi.
 
Upuuzi kuzindika ndoa! Badara amufunde namna ya kutunza ndoa yeye anamzindika? Mapenzi hayo yamepitwa na wakati! Bwana harusi anatakiwa kutuma taraka kabla hajarudi!
 
Hahahha! Ushirikina hauna historia ya kumwacha mtu salama
 
Ndio iwe fundisho waachane na mambo ya uganga uganga!
 
Weka picha tuone Mganga kafika bei wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…