Haina madhara yoyote kwa mwanaume kwa upande wa dushelele. na hakuna kinachoingia ndani ya dushelele kwa nafasi ipi kwanza mpaka iingie...ila haileti picha nzuri (kinyaa) kitu kimeingia safi kinatoka chafu...
Huko unakoita 'kusafisha vizuri' si ajabu ndo kulimponza.mmetufanya desperate hadi tunataka kujisiliba cement ili kuongeza soko!
Wanaume wabaya sana,lol
pole kaka mshauri shemeji pia awe anakufanyia usafi huko kwa bibi mara kwa mara asitumie sabuni detol ya maji ni nzuri zaidi na maji ya uvugu vugu kwa pia muulize alishawahi kutumia shabu ?
ok inatakiwa dose gani wakuu?maana hospital siku hizi ni biashara kumuona doctor elfu 10 kufungua file elf 5 so nikimaliza humu humu itakuwa mzuka maana hiyo elfu 15 itafaa kununua full dose
nenda hospital. sababu ni nyingi za utoko. labda hata haumwi bali hajisafishi vizuri. vipimo ni bora kabla ya dawa. unabania elfu 15000 na unalipia i-net. sikuoni kama mtu wa kushindwa lipa hela hiyo kwa afya yako na mkeo.
Pole na hongera kwa kumjali mwenzio,
Ila pamoja na kumwona Dr.awe anasafisha mashine mara kwa mara anaweza pia kutumia maji ya kawaida kamulia ndimu ajisafishe harufu itapotea na patakua na mnato wenye mvuto.:lol:
Pole na hongera kwa kumjali mwenzio,
Ila pamoja na kumwona Dr.awe anasafisha mashine mara kwa mara anaweza pia kutumia maji ya kawaida kamulia ndimu ajisafishe harufu itapotea na patakua na mnato wenye mvuto.:lol: