Mgana Msindai vs Wilbroad Slaa

Hilo linawezekana sana. Mbona Esther Bulaya kapewa fursa kule Bunda licha ya malalamiko ya Chadema 'orijino' vs 'wakuja'? Kwa kifupi tu ni kwamba wamemthibitishia Wasira Tyson kuendelea na ubunge kiulaini.
 
Hiyo nafasi ni ya Mgombea Uraisi tena tutapambana apate nafasi mojawapo,ama ya Uenyekiti wa Chama au Ukatibu Mkuu weee ondoa pua ya Msindai kwanza hajachangia chochote kwenye chama walu Lowassa katupatia Bil 10 si haba.
 

Ila mbona haonekani, anakula good time na kayanza huyu na si ajabu wapo dubai
 
wanajamvi jana mzee warioba alionekana pale jangwani akitetea CCM MASWALI YA KUJIULIZA JE?
1.ccm hao ndo waliomtuma makonda akampiga warioba pale ubungo
2.mh rais alishabikia kitendo hicho alipokuwa mwanza anaongea na awatu wa anti corruption eti wazee wengine wanajitakia kupigwa wenyewe
3.mzee warioba alitukanwa kwenye bunge la katiba hata na wale wa darasa la saba B kwamba hafai amezeeka.
na mengine mengi sasa sijui jana alikuwa anakubaliana na hayo aliyofanyiwa NAOMBA TUJADILI
 
Kazi Ya Dr.Slaa Imetukuka,hata CCM Wanajua Hilo.Msindai Anakijua Chama?Acha Uzushi,apewe Hon.J Mnyika
ha ha ha.. itabidi mkubali tu kuwa chama kishanunuliwa. eti msindai hakijui chama.. na aliyepewa kugombea uraisi anakijua chama??..
 
Kwanza ingekuwa vizuri kupata reference ya maandishi haya. Je ni kweli? Yameandikwa wapi? Pili sidhani kama Mheshimiwa Lowassa anayo nafasi ya kutuchagulia kiongozi ye yote. He is new member of this party (CDM), we have given him a chance to win this election and lead the next government, so lets give him space to him deliver on this issue first. Tatu, tunao viongozi wengi na wanaofaa kabisa katika CDM , na si lazima tuchukue wote waliotoka CCM. Tukifanya hivyo basi itakuwa chama kimetushinda. Miaka hii yote tuliokuwa tunakijenga chama, hatuna watu? Nne, Dr Slaa yuko mapumzikoni, hajatuambia kuwa hatarudi. Tumpe nafasi apumzike kidogo.
 
Lakini slaa kasema wenyeviti kiduchu(watatu)wa ccm waliomfuata lowassa chadema ni mizigo!
 

Dr.slaa harudi tena,muanze kujiandaa kisaikolojia kujaza nafasi yake
 
Haiwezikani wapo mnyika,salum mwalim na wengine kibao wanaijua cdm
Namtalia sana Mwaka huu akuna wa kuwaonea huruma! Wa Tz wana revange mateso walio yapata kwa zaidi ya miaka 50 tunawatesa kwa miezi mitatu tu na adabu mtaipatu
 
Ina maana ndani ya ukawa hamna anayefaa kuwa kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…