Mgambo

Mgambo

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Katika mazoezi ya mgambo kutafuta wanajeshi.uliwadia muda wakulenga shabaa,kamanda wa kikosi akasikia mmoja wa mgambo wake anamwaga risasi kama rambo,akamfuata akaangalia wapi alipopiga,akakuta hajalenga hata risasi moja kwenye ile karatasi ya shabaa.akamuuliza

kamanda-mbona hujapata hata point moja kwenye kulenga shabaa?umebakiwa na risasi ngapi?

Mgambo-siwezi,na nimebaki na risasi moja

kamanda-(kwa hasira)nenda kule msituni kajiue nayo kichwani ufie hukohuko.

Mgambo akaondoka akaenda porini kujipiga.dk2 zikaisha huku kwa kamanda wakasikia mlio wa risasi,kamanda akaamua kwenda kumwangalia kama jamaa amejipiga kweli,hata hajafika porini anakutana na mgambo anarudi.

Kamanda-wee sinilikuambia uende ukajiue

mgambo-nimejipiga ila nimejikosa.
 
Bibi mmoja alikuwa akimpatia dereva wa daladala karanga..
Baada ya kitendo hicho kutokea mara kadhaa!

Dereva Akamuuliza: Mbona huwa unanipa karanga tamu hiv? Kwann uzitafune mwenyewe!?

Bibi akajibu: sina meno ya kuzitafuna.

Dereva: Sa mbona huwa unazinunua?

Bibi: Huwa napenda kulamba chocolate unayowekwa kwa juu
 
ASKARI:hivi dokta huwa unamjuaje mtu aliyechanganyikiwa akili?
DR:Aaah huwa namuuliza swali jepesi ambalo mtu mwenye akili timamu ataweza kulijibu.
ASKARI:Swali kama lipi?hebu nipe mfano.
DR:Ok...kwa mfano...Chifu mkwawa aliwahi kupigana vita mara tatu na kifo chake kilitokea akiwa vitani.Je ni vita ipi hiyo??
ASKARI:Aaah..mmmh...kwa kweli mi siko vizuri sana kwenye historia,hebu nitafutie swali lingine
 
Mama mmoja wakati anamfokea mwanae mdogo alieharibu jambo alimalizia kwa kumuambia...
"...muone kwanza, sura kama mfuko wa jeans"
Mtoto akauliza "wa mbele, wa nyuma?
 
Mbona kama zote hizi ni marudio? kwa mara ya kwanza leo Excellent umeniangusha!
 
mwalimu: baba yako akikopa bank elfu kumi na akaendakukopa kwa jirani elfu 20 akija kulipa jumla zitakuwa ngapi?
mwanafunzi:halipi kitu
mwalimu:haiwezekani lazima atalipa
mwanafunzi:nishakwambia hatolipa kitu kumbe wewe humjui baba eeeeeee akikopa halipi deni akikopa kakopa lol hahhahah
 
Bibi mmoja alikuwa akimpatia dereva wa daladala karanga..
Baada ya kitendo hicho kutokea mara kadhaa!

Dereva Akamuuliza: Mbona huwa unanipa karanga tamu hiv? Kwann uzitafune mwenyewe!?

Bibi akajibu: sina meno ya kuzitafuna.

Dereva: Sa mbona huwa unazinunua?

Bibi: Huwa napenda kulamba chocolate unayowekwa kwa juu
Aiseee pasingetosha hapo.inewalazimu FFU watuamulie
 
japo imejirudia inafurahisha tena
 
Mama mmoja wakati anamfokea mwanae mdogo alieharibu jambo alimalizia kwa kumuambia...
"...muone kwanza, sura kama mfuko wa jeans"
Mtoto akauliza "wa mbele, wa nyuma?
Jibu limempata mjibuji. Nalog off
 
hhahahahahahahah
Nakuheshim Excellent ..
Very funny . Thanx dear
..🙂
 
mwalimu: baba yako akikopa bank elfu kumi na akaendakukopa kwa jirani elfu 20 akija kulipa jumla zitakuwa ngapi?
mwanafunzi:halipi kitu
mwalimu:haiwezekani lazima atalipa
mwanafunzi:nishakwambia hatolipa kitu kumbe wewe humjui baba eeeeeee akikopa halipi deni akikopa kakopa lol hahhahah
Dah! Kweli mtoto anamjua vizuri Mdingi wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom