Mimi lilinitokea hilo tatizo mwezi uliopita. Nilikuwa samaki bwana, kamwiba kadogo kakanasa kwenye koromeo. Kila nikiweka wali au ugali mkavu hautoki. Nilijifunza inawezekana ule mwiba ilinasa kwa kuangalia chini so ugali mkavu, mkate mkavu au chochote kigumu ukimeza kinapita tu juu yake.
Nikaona si tabu, nikauacha. Kweli ulikuwa kero kwani unachoma na kuwasha kwenye koromeo ila nikajikaza. Siku 2 tu ukaoza na kudondoka huko kwa huko. Mambo yakawa fresh tu. Relax bro, maumivu na kero itakaa siku 2 tu then kitaoza. Don't Panic mkuu.