Mfupa wa samaki tatizo

mandingo 94

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
269
190
Hàbar marafiki nipatwa na tatizo hapa Lina nikera Sana Yani kwenye Kana kamwimba kamenasa hakaumi Ila kananikera tu naombeni msaada jinsi ya kakatoa maana nishaingiza vidore ili nitapaki bado akatoke naombeni njia jinsi ya kukatoa
 
Mega Tonge kubwa la ugali, usilitoweze kwenye mchuzi, limeze zimazima. Kamwiba kakibaki basi katakuwa sio kamwiba ka samaki
 
Mimi lilinitokea hilo tatizo mwezi uliopita. Nilikuwa samaki bwana, kamwiba kadogo kakanasa kwenye koromeo. Kila nikiweka wali au ugali mkavu hautoki. Nilijifunza inawezekana ule mwiba ilinasa kwa kuangalia chini so ugali mkavu, mkate mkavu au chochote kigumu ukimeza kinapita tu juu yake.

Nikaona si tabu, nikauacha. Kweli ulikuwa kero kwani unachoma na kuwasha kwenye koromeo ila nikajikaza. Siku 2 tu ukaoza na kudondoka huko kwa huko. Mambo yakawa fresh tu. Relax bro, maumivu na kero itakaa siku 2 tu then kitaoza. Don't Panic mkuu.
 
Back
Top Bottom