Mfungwa aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa, kupata ajali ya basi la magereza madaktari wanapigania uhai wake

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Ili limekaaje kwenu.

Baada ya kesi kufika tamati hukumu ya mtuhimiwa kutoka na kurudishwa gerezani bahati mbaya gari la gerezani likapata ajali kugongwa na treni.

Madaktari wapo kuhakikisha uhai wake unapatikana.

---
DUNIA INA MAAJABU SANA AISEE.

Mfungwa aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa, akapata ajali baada ya basi la Magereza kugonga treni juzi huko Ukonga. Alipelekwa hospital kwa matibabu zaidi... Hapa Madaktari wanapambania kumtibu ili apone ndipo akanyongwe.
 
kesi ya kunyongwa isikie kwa wenzio ukikaa ukitafakari ukavaa viatu vyao kwa kweli hili jambo ni hatari. au kifungo cha maisha.
 
Bado sioni cha ajabu hapa.Maana kila mmoja anatekeleza majukumu yake kwa taratibu na sheria
 
Watoa hukumu huwa wanajisikiaje kutoa hukumu kwa watu wasio na hatia! Hivi akifa mtu huyu ataenda jibu nini kwa Mola wake! Ninyi watoa hukumu kama mpo humu jamiiforum au watoto wenu mliomo humu fikisheni ujumbe kwa wazazi wenu watambue kuna maisha mengine baada ya kufa, na kuna maswali huko wataulizwa, huko hakuna cha rushwa, haki haki.

Bhujiku ng'waka
 
Kutoa hukumu ya kifo ni kuwatendea haki ndugu na marehemu waliouwawa.
Kabla ya kunyongwa unaweka pekee Yako muda mrefu Sana ili upate mda wa kufanya Toba umrejee Mola wako
 
Ili limekaaje kwenu.

Baada ya kesi kufika tamati hukumu ya mtuhimiwa kutoka na kurudishwa gerezani bahati mbaya gari la gerezani likapata ajali kugongwa na treni.

Madaktari wapo kuhakikisha uhai wake unapatikana.

---
DUNIA INA MAAJABU SANA AISEE.

Mfungwa aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa, akapata ajali baada ya basi la Magereza kugonga treni juzi huko Ukonga. Alipelekwa hospital kwa matibabu zaidi... Hapa Madaktari wanapambania kumtibu ili apone ndipo akanyongwe.
Wajibu wa daktari ni nini? Hukumu haiwahusu!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom