sir Ganto G
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 573
- 114
Mfungwa mmoja alitoroka jela baada ya kutumikia kifungo chake kwa miaka Ishirini na akiwa amevaa uniform,uso ulikuwa unatisha na alikuwa na ndevu nyingi.
Baada ya kutembea kwa muda akakiona kijiji cha kwanza.Akaingia nyumba moja na kukutana na Mume na Mke,wakiwa na hofu kuu huku wakitetemeka baada ya kutishiwa maisha yao,huyo mfungwa akamfunga Mume kamba
ndipo akamchumkua Mke na kumpeleka kitandani(wote walikuwa chumbani) akamlaza kifudifudi huku akiwa ana mbusubusu na kumlamba shingo huku akimpumulia masikioni na udenda ukiwa unamdondoka,akafunga kamba kisha akaondoka chumbani.
Mume akasema " dah mke wangu inaonyesha huyu mfungwa kakaa muda mrefu jela bila kufanya tendo mpaka udenda unamdondoka!,JITAIDI MKE WANGU VUMILIA NA UJIKAZE WE MWANAMKE KILA JAMBO LINA MWISHO".
Mke akasema "lakini alikuwa ananinong'oneza akikusifia kuwa wewe ni mzuri sana na kuwa yeye ana bahati kutoka tu jela anakutana na mwanaume mzuri kama wewe,hivi kaniulizia mafuta ya mgando nikamwambia bafuni kuna vasaline ndo kaenda kuchukua,JITAIDI MUME WANGU VUMILIA NA UJIKAZE WE MWANAUME KILA JAMBO LINA MWISHO".