mbogodj
Member
- Jun 5, 2014
- 65
- 13
Mstaarabu wa kweli hasubiri mwezi mtakatifu/ mwezi wa mfungo kufanya yaliyo mema machoni kwa watu.
My take tuachane na utaratibu wa vurugi fujo zisizo za maana wakati wakufungua na baada ya kufungua.
Si ajabu kuona MTU kesho kaamkia bar ,guest kisa alikua mfungo na kafungua .tunakua hatujafanya chochote zaidi ya kupunguza bajeti ya chakula kwenye familia kwa siku 30.
Nawatakia eid njema wadau wote.. .........