Ukiona kero, rudi mkoani kwenu, mbali na dini, hiyo ni kama tamaduni yetu ya watu wa ukanda wa pwani, ilimradi halivunji sharia za dini, na sheria za nchi, hatutaacha ng'o kisa, we m bara umechukia.Kwanza natanguliza wazi mimi ni Muislam wa kuzaliwa na kuamini. Pia sina lengo la kukashifu dini yoyote au imani ya mtu. Bali najaribu kuelezea mambo yanayojili katika mwezi huu wa Ramadhani ambayo , kisheria na kiustaarab hayako sawa kabisa.
Nitaelezea jambo moja. Wenyewe tumezoea kuliita kupiga daku. Hizi ni ngoma wazozunguka vijana kupiga katikaajumba kwa lengo 'sijui ni lipi'. Nasema sijui ni lipi.
Kipindi cha nyuma ilikua zaidi wanazunga majumbani usiku kuamsha watu kula chakula cha usiku mkubwa(daku). Hivyo mantiki yake ilikua ni kuamsha watu, na walioamshwa waliwapa senti kidogo kama sadaka.
Kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia-Siku hizi kuna alarms, pia suala la usalama kuwa dogo maeneo mengi hawa wamaepungua kufanya shughuli hii.
Lakini kupiga mchana sijui hasa mantiki yake ni nini.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni hiki.
Leo mida ya mchana nilikua dinning, na bi mkubwa(mwenye shida ya pressure), na baadhi ya family members. Ghafla tukasikia ngoma zinapigwa ndani kwa nguvu wakiimba. Waliimba na kupiga ngoma kwa muda wa dakika takribani kumi. Finally nikatoka na kuanza kuwaeleza kuwa wanakosea, wakaanza kulalamika kuwa siwafanyii vyema, niwape sadaka waondoke. Sikuwapa hata sh moja, wakaendelea kupiga ngoma kwa takribani dakika 20, walipochoka wakaondoka.
Hii ni tabia kwa watu waliokulia mazingira ya mikoa ya kiislamu ni common sana.
Ni mazoea sana, ni tabia za kawaida. Lakini kiundani zina athari sana. Na inapashwa ikemewe sana.
1. Kuingia nyumba ya mtu bila kuruhusiwa hiyo ni trespassing na ni kosa kisheria, ukimkuta mtu aliye 'pinda', hawa vijana watalala 'ubaoni'.
2. Ni mwanzo na dalili za wizi.
3. Inaweza kuwa ni uchoraji wa mazingira ya ujambazi. Mchana daku usiku wanarudi ujambazi.
4. Inaweza sababisha mauaji. Mfano hawajui ni nani yumo ndani na ana maradhi gani, sauti za ghafla zinaweza kuleta mauti.
5. Si kila nyumba ni waislam, na hata kama ni waislamu si wote wanataka 'kelele' hizo.
Ndugu zangu waislam(hasa), tukemee suala hili na tuache kulilea, tunatengeza vibaka, na kulemaza kuacha kufanya kazi kutegemea kupewa 'sadaka'.
Mi pia ni mwislam na hawa madogo hua wananiboa coz wanaficha kuombaomba pesa nyuma ya kuamsha watu kula daku na hii inadhihirika pale wanapokuja na ngoma zao hadi mchana au kuendelea kupiga ngoma zao kwa muda mrefu usiku usipotoka kuwapa pesa ni kama sasa wanafanya kukomoa kisa hujawapa pesa so wakusumbue na makelele..Yaaan mm najiulizaga hivi Wao hawajui muda huu ni wakuamka kwenda kula daku au kwenda misikitini
Vitu vingine bana useme Wanakujia juu ati makafiri
Halazimishwi mtu kuifata dini,yaani kufanya au kusilimu.Sasa si waweke adhana kwenye alarm halafu iwafikie wale wanaotaka tu, wanaoona usumbufu wasiipate.
Mbina Quran yenyewe imeandika dini hailazimishwi?
Unakataa kusumbuliwa na wapiga daku kwa sababu una alarm, halafu unakubali wengine wasumbuliwe na adhana?
Mbina una double standard hivyo?
Ukishamlazimisha mtu kusikiliza adhana,tena ya mahubiri, ushamlazimisha mtu kufuata dini.Halazimishwi mtu kuifata dini,yaani kufanya au kusilimu.
Ila adhana ikiadhiniwa ni lazima mtu aende huko kunakoadhiniwa...kama hataki"atajuana yeye na MUNGU.
mikoa ya kiislamu ni ipi?Elewa hoja yangu. Vijana kuvamia miji ya watu na kuanza kupiga ngoma bila ruhusa.
a daku ila kelele za disco hujaziona na jee kwa nini husemiKwanza natanguliza wazi mimi ni Muislam wa kuzaliwa na kuamini. Pia sina lengo la kukashifu dini yoyote au imani ya mtu. Bali najaribu kuelezea mambo yanayojili katika mwezi huu wa Ramadhani ambayo , kisheria na kiustaarab hayako sawa kabisa.
Nitaelezea jambo moja. Wenyewe tumezoea kuliita kupiga daku. Hizi ni ngoma wazozunguka vijana kupiga katikaajumba kwa lengo 'sijui ni lipi'. Nasema sijui ni lipi.
Kipindi cha nyuma ilikua zaidi wanazunga majumbani usiku kuamsha watu kula chakula cha usiku mkubwa(daku). Hivyo mantiki yake ilikua ni kuamsha watu, na walioamshwa waliwapa senti kidogo kama sadaka.
Kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia-Siku hizi kuna alarms, pia suala la usalama kuwa dogo maeneo mengi hawa wamaepungua kufanya shughuli hii.
Lakini kupiga mchana sijui hasa mantiki yake ni nini.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni hiki.
Leo mida ya mchana nilikua dinning, na bi mkubwa(mwenye shida ya pressure), na baadhi ya family members. Ghafla tukasikia ngoma zinapigwa ndani kwa nguvu wakiimba. Waliimba na kupiga ngoma kwa muda wa dakika takribani kumi. Finally nikatoka na kuanza kuwaeleza kuwa wanakosea, wakaanza kulalamika kuwa siwafanyii vyema, niwape sadaka waondoke. Sikuwapa hata sh moja, wakaendelea kupiga ngoma kwa takribani dakika 20, walipochoka wakaondoka.
Hii ni tabia kwa watu waliokulia mazingira ya mikoa ya kiislamu ni common sana.
Ni mazoea sana, ni tabia za kawaida. Lakini kiundani zina athari sana. Na inapashwa ikemewe sana.
1. Kuingia nyumba ya mtu bila kuruhusiwa hiyo ni trespassing na ni kosa kisheria, ukimkuta mtu aliye 'pinda', hawa vijana watalala 'ubaoni'.
2. Ni mwanzo na dalili za wizi.
3. Inaweza kuwa ni uchoraji wa mazingira ya ujambazi. Mchana daku usiku wanarudi ujambazi.
4. Inaweza sababisha mauaji. Mfano hawajui ni nani yumo ndani na ana maradhi gani, sauti za ghafla zinaweza kuleta mauti.
5. Si kila nyumba ni waislam, na hata kama ni waislamu si wote wanataka 'kelele' hizo.
Ndugu zangu waislam(hasa), tukemee suala hili na tuache kulilea, tunatengeza vibaka, na kulemaza kuacha kufanya kazi kutegemea kupewa 'sadaka'.
Vumilia tuu hata wenzio wanavumilia kengele ya roma, nashukur maana ilikuwa alarm ya kwenda shuleUkishamlazimisha mtu kusikiliza adhana,tena ya mahubiri, ushamlazimisha mtu kufuata dini.
Kama dini hailazimishwi, adhana isipigwe misikitini kiasi cha kuwafikia watu ambaohata si Waislamuna hawataki kuwa Wasilamu.
Kwao ni kelele za kero tu.
Karaha tu.
Mnawalazimisha kitu ambacho hawakitaki.
Unajua maana ya kulazimisha?Ukishamlazimisha mtu kusikiliza adhana,tena ya mahubiri, ushamlazimisha mtu kufuata dini.
Kama dini hailazimishwi, adhana isipigwe misikitini kiasi cha kuwafikia watu ambaohata si Waislamuna hawataki kuwa Wasilamu.
Kwao ni kelele za kero tu.
Karaha tu.
Mnawalazimisha kitu ambacho hawakitaki.
Aya kwenye kitabu cha Quran imesema"Ukishamlazimisha mtu kusikiliza adhana,tena ya mahubiri, ushamlazimisha mtu kufuata dini.
Kama dini hailazimishwi, adhana isipigwe misikitini kiasi cha kuwafikia watu ambaohata si Waislamuna hawataki kuwa Wasilamu.
Kwao ni kelele za kero tu.
Karaha tu.
Mnawalazimisha kitu ambacho hawakitaki.
Dah, wee jamaa mchonganishi aseee. Nimejikuta hata sjui niandikaje ati.
Ila unajua, hii kitu siku hizi hamna kabisa kama zamani coz tangu mwezi umeanza huu mie sijakutana na wapiga daku hata mara moja na mpaka usiku nakuwepo kwenye mitaa mbalimbali ya jiji.
Kiukweli nilijua huu mtindo wa daku umeshakufa ndio kwanza nimekuja kuona hii mada hapa nikakumbuka hii daku, zamani ilikuwa ni daku kweli aisee ila siku hizi hamna kitu.
Kuna jamaa alikuwa anacheza pale mbele kavaa gunia kama msuli halaf sjui kaweka nini inafanana na mshipa hivi. Hatarious aseee.
Those days bhana. Acha tu mkuu.
We jamaaa mbishi kuelewaa sanaeeUmetoa hoja pia kwamba zamani mantiki ya hao vijana ilikuwa kuwaamsha watu waliolala wale daku. Siku hizi kuna alarm. Watu hawahitaji kuamshwa.
Nikakuuliza, muazzin naye anaamsha watu waliolala wakaswali. Kwa kuwa kuna alarm siku hizi, tuache kufanya azzana?
Hujajibu.
Na pia huo mda waliokaa hao vijana kama angewahi kuwapa japo mia tano angeokoa japo 15% za hizo kelele ...huyu nae ni wale wale wanaotoa sadaka halafu mtaa mzima ukajua.MTOA MADA NIKUSAIDIE KITU
1. Kwa maeneo mengi mfano kwa jiji la Dar es salaam hilo suala la watu kupita kuamsha daku na kanda ya Pwani sio kitu kigeni na wala hawavamii nyumba za watu kama unavyojaribu kupotosha.
2.Tabia ya wizi ni tabia ya mtu mwenyewe sio mpaka watu wakusanyike waamshe daku wizi ndo utokee. Panya road wale walikuwa ni waamsha daku?
3.Wale wapitaji wanapita zao njiani na kama wamepita katika eneo lako ukaona wanakupigia kelele kama unavyodai toka nje ongea nao kistaarabu halafu wataondoka na pia hujalazimishwa au kuandikwa katika maandiko ya kiislam kwamba lazima uwape hiyo pesa. Ukijisikia kuwapa ni utashi wako na usipojisikia kuwapa ni utashi wako vilevile.
Hahaha kuna watu sana kipaji cha kuimba papo kwa papo aisee, hata mimi nakumbuka kipindi nikiwa mdogo ilikua ukifanya tukio basi usiku jiandae kuimbwa kwa mashairi ya kuudhi.Ninakumbuka ngoma za kula daku tulipokuwa wadogo huku kwetu Kwamtogole zilipigwa baada ya insha, kuna mama mmoja alikuwa mnene sana.
Watoto wa kula daku wamekwenda kwake wakaanza kuimba “ mke mnene sioi mke mnene sioi bwana. Akilala kitandani kama gunia la nazi bwana.” Aliwafukuza tena akiwaonyesha hela aliyopanga kuwapa.
Mm nafikiri wangeweka sound proof msikitini ili sauti isisikike, pia swala la hao wapiga ngoma huku kwetu wamewekeana mipaka, ukiingia kwy mipaka ya mtu mwingine ni vita.Sasa si waweke adhana kwenye alarm halafu iwafikie wale wanaotaka tu, wanaoona usumbufu wasiipate.
Mbina Quran yenyewe imeandika dini hailazimishwi?
Unakataa kusumbuliwa na wapiga daku kwa sababu una alarm, halafu unakubali wengine wasumbuliwe na adhana?
Mbina una double standard hivyo?
haswaaNa pia huo mda waliokaa hao vijana kama angewahi kuwapa japo mia tano angeokoa japo 15% za hizo kelele ...huyu nae ni wale wale wanaotoa sadaka halafu mtaa mzima ukajua.
Sio kusudio la adhana kuamsha watu waliolala, lengo la adhana ni kuwajulisha waliomacho kuwa muda wa swala umeingia. Watu waliolala wanatakiwa waswali pale watakapo amka. Adhana ni utambulisho muda wa swala umeingia..
Nikakuuliza, muazzin naye anaamsha watu waliolala wakaswali. Kwa kuwa kuna alarm siku hizi, tuache kufanya azzana?
Hujajibu.