MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Hivi kufunga tunafunga kula tu au hata na biya?Wapendwa wanaJF wenzetu.
Napenda kufikisha salamu za upendo na kheri kwenu wote mnaotarajia kufunga kwa mwezi mtukufu.
Tunawatakia Mfungo Mwema kwenu na familia zenu.
Hivi kufunga tunafunga kula tu au hata na biya?
Hivi kufunga tunafunga kula tu au hata na biya?
Hivi kufunga tunafunga kula tu au hata na biya?
hubby hutaki kufunga biya wewe?
ila jua inabidi ufunge ukaguzi.....
Babu Asprin Bwana..............................................
Mfungo mwema.
Afazali asee... zile hela za ofa za biya na mishakiki kwa mabaamedi wangu wapenzi Ashura na Fatuma zitarudi kwa mai waifu wangu.Astaghafullilah ndg Asprin!
Funga ni kila kitu mpaka tendo la ndoa,ila tendo hlo ni halali na ruksa kwa mkeo/mumeo ambaye umefunga nae ndoa.
Na si halali wala huruhusiwi kufanya tendo hlo kwa mwanamke/mwanaume ambaye hujafunga nae ndoa,
Maana saumu yako Haitahesabiwa kwa Allah.
Na tunasema ni Batili.
Afazali asee... zile hela za ofa za biya na mishakiki kwa mabaamedi wangu wapenzi Ashura na Fatuma zitarudi kwa mai waifu wangu.
Mfungo Hoyeeeeee!!!!
Hivi kufunga tunafunga kula tu au hata na biya?
....hahahahaha...ikulu inabidi tuongee na Riz1huu mwezi huwa najinenepeaje? mialiko ya kufuturu kila kona ya nchi...
ikulu wanafuturisha lini jamani?
hebu muulize mimi sina contact nae ..nataka nijue ikulu wanafuturisha lini kwanza?then bunge? na mawizara..hadi mfungo uishe sijui ..kweli kodi za wananchi zina shughuli......hahahahaha...ikulu inabidi tuongee na Riz1
Hivi kufunga tunafunga kula tu au hata na biya?
Tunavunja wapi Jungu Komredi? au pale pale kama dawa kama kawa!Afazali asee... zile hela za ofa za biya na mishakiki kwa mabaamedi wangu wapenzi Ashura na Fatuma zitarudi kwa mai waifu wangu.
Mfungo Hoyeeeeee!!!!
Hivi kufunga tunafunga kula tu au hata na biya?
hubby hutaki kufunga biya wewe?
ila jua inabidi ufunge ukaguzi.....
Babu Asprin Bwana..............................................
Mfungo mwema.
Astaghafullilah ndg Asprin!
Funga ni kila kitu mpaka tendo la ndoa,ila tendo hlo ni halali na ruksa kwa mkeo/mumeo ambaye umefunga nae ndoa.
Na si halali wala huruhusiwi kufanya tendo hlo kwa mwanamke/mwanaume ambaye hujafunga nae ndoa,
Maana saumu yako Haitahesabiwa kwa Allah.
Na tunasema ni Batili.
Kiongozi bia marufuku ! Viroba kula ruksa!
eeeeh na BIYA....
Tunavunja wapi Jungu Komredi? au pale pale kama dawa kama kawa!
Sasa na serikali iliovyoongea kodi kwenye bia sijui watakusanya nini mwezi huu!
Serikali inafikiri inatukomoa sisi kumbe inakomoa watoto malaika wa Mungu! Ishindwe kabisa serikali kutesa watoto. Hommie hebu na wewe kemeaSwali moja majibu kibao...... Ila huyu mtukufu Kimey hapa chini ndo amenena la neno la hekima. Hommie usijali, serikali inafikiri ikiongeza kodi ya BIYA tutaacha kunywa..... Wangejua tumepunguza bajeti ya nyumbani.... Watoto watapata kwashakoo kwa hisani ya BIYA.