mama watoto wengi
Member
- Jan 9, 2013
- 39
- 30
Habari zenu humu ndani kwa wale wanaojua wafundaji wazuri wa kufunda mtoto wa kike tafadhali achieni namba zao humu ndani ila mfundaji huyo awe tayari kusafiri kuletwa mkoa wa ajili ya shughuli hiyo.
Daah akiwa mwanaume vipi?halafu wawe wanajifungia chumbani(anamfunda) usiku na mchana!!

aiseeeeeeeeeMlete kwanza tujaribu na penseli sio unasena mwali kumbe watu wameshafungua njia ya mabasi ya kwenda kasi kabla haijazinduliwa rasmi
achene masihara bana
acheni wala sio ACHENE
acheni wala sio ACHENE
Baadae nitaku pm namba ya kungwi mmoja,ye yupo dar so mtaelewana tu
Habari zenu humu ndani kwa wale wanaojua wafundaji wazuri wa kufunda mtoto wa kike tafadhali achieni namba zao humu ndani ila mfundaji huyo awe tayari kusafiri kuletwa mkoa wa ajili ya shughuli hiyo.
Cc @ladyfurahia