Iende 60 M kabisa, zimeshakuwa yeboyebo Kila mdada ni Tako la nyani tu, humwambii kituHarrier tako la nyani imeshafika 40M
G wagon ndio gari classIende 60 M kabisa, zimeshakuwa yeboyebo Kila mdada ni Tako la nyani tu, humwambii kitu
Ni kweli kabisa hata Bentley continental au Bentyega na zenyewe pia ni classic sanaG wagon ndio gari class
Gari yoyote utakayoagiza mwenyewe utaokoa si chini ya 5MPoint 1. Kuagiza gari 1 binafsi ni hasara
Point 2. Kuna siri ambazo wafanyabiashara ya magari hawawezi kukwambia na sio wote wanaozifahamu ndio maana unakuta mtu binafsi ukiagiza mfano Rumion sbt unaipata kwa 20M anaejua hizo mbinu za siri anakuuzia mpaka 22M asiejua 24M
Point 3. Kupanda na kushuka kwa Dollar kuna Influence
Mnang'ang'ania kumiliki magari Dar wakati kuna mwendo kasi. Acheni kuendekeza na kupenda anasa zembe.Habari zenu wakuu...
Nimekua nikiperuzi websites maarufu kwa mauzo ya magari kutoka Japan yaani SBT na Be Forward...
Naona gari zimekuwa na bei kubwa sana ukicompare na kipindi kifupi kilichopita.
Yaani hizi ndogo mf. Allex, IST, Honda Fit, nk zote zinachezea kuanzia 17M hadi 22M wakati zilikua around 13M hapo mwanzo.
Sasa kununua ka-baby walker kwa 20M ni kiti kinatatiza kidogo, kinauma 😄. Ni wapi au namna gani ninaweza kupata bei rafiki/realistic kwa ubora mzuri? Nini kinaweza kuwa chanzo cha mfumuko huu?
Akina Mad Max na wazoefu wengine mnaweza mkawa na hints kwenye changamoto hii
😳😳 watatuua hawa kenge, wao wapo kwenye ma viete ya kodi zetu na bado wana msamaha wa kodi kibwena wakitaka kuagiza magari binafsi..Tukiacha kuongezeka kwa CIF (bei ya kuuzia Japan), huku kwetu kodi imeongezeka sana tu. Kila gari limeongezeka kodi mwaka 2026, mengine hadi 4 Million.
Sahihi mkuu.Gari yoyote utakayoagiza mwenyewe utaokoa si chini ya 5M
Mkuu, inawezekana kuagiza gari mwenyewe na kufanya kila kitu hadi unalipokea mwenyewe bila ya haya makampuni?Gari yoyote utakayoagiza mwenyewe utaokoa si chini ya 5M
Inawezekana kabisa ila kwenye kuitoa utamtumia agentMkuu, inawezekana kuagiza gari mwenyewe na kufanya kila kitu hadi unalipokea mwenyewe bila ya haya makampuni?
😳😳 watatuua hawa kenge, wao wapo kwenye ma viete ya kodi zetu na bado wana msamaha wa kodi kibwena wakitaka kuagiza magari binafsi..
Sisi hatuna viongozi tuna LAANA
[/QUOTE
Hadi kufika 2030 hii nchi itakuwa ngumu Sana kuishi, kumiliki gari itakuwa ni ngumu zaidi
AutocomHabari zenu wakuu...