Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,715
- 167,734
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeshuka mlegezo labda
Tusidanganyane, umeme haujashuka bei, wala maji hayajashuka bei.
Konyagi hazijashuka bei, bia hazijashuka bei (wamepunguza volume )
Ada za shule na vyuo hazijashuka bei, gharama za matibabu hazijashuka.Gharama za gesti, za London, za pedi na chupi hazijashuka.
Mfumuko wa bei umeshuka lakini sukari kilo sh.2,700. mafuta ya kula lita 5 alfu ishirini na tatu, mchele Super Tenende kilo sh.2600.Nauli ziko na bei ile ile ya siku zote
Huo mfumuko umeshuka kwenye bidhaa ipi haswa zaidi ya matikiti maji?
Idara ya takwimu eidha mnaongea uwongo, au Just praise me anatudanganya.
Nitajieni bidhaa likizo shuka bei
Hiyo speed itaongezekaje wakati kila siku inapanda bidhaa moja badala ya nyingine. Kama wanataka zipande zote kwa wakati mmoja basi watasubiri sana. Na hapo ndipo takwimu zao zitakuwa zimekosa maana kwa maisha halisi ya watu.Mfumuko wa bei kupungua kwa asilimia fulani haina maana bei za bidhaa zimeshuka. Maana yake ni rate/speed ya ongezeko imepungua.
Imekuwa kilometers ngapi kwa saa?Mfumuko wa bei kupungua kwa asilimia fulani haina maana bei za bidhaa zimeshuka. Maana yake ni rate/speed ya ongezeko imepungua.
Kwenye hizo bidhaa mama yako ana tumia bidhaa gani?Mfumuko umepungua kwenye
1. Beer kutoka 2500 mpaka 2000
2. Gesti self kutoka 25000 mpaka 20000 Mbagala mpaka 5000
3. Mademu wa juu kutoka 50000 mpaka 30000. Wa kati toka 20000 mpaka 10000 wa chini hata buku 5 unachovya asali.
Vyakula navifanyia utafiti
Unavaa chupi moja na baba yakoKwenye hizo bidhaa mama yako ana tumia bidhaa gani?