zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
Mfumo wetu wa elimu umekuwa sio rafiki kwa muda mrefu haubadiliki miaka nenda rudi.
Kuna mabadiko ya kitekinolojia katika mifumo ya baadhi ya vitu kwa mfano magari ya zamani na ya sasa, Simu za zamani na za sasa,computer za zamani na sasa.
Lakini katika mfumo wa elimu na shule kwa ujumla umekuwa ni ule ule kwa miaka yote.
Mfumo wetu unajali zaidi matokeo na marks katika mitihani hata kuliko uelewa wa wanafunzi.
Ndio maana wanafunzi hufanya udanganyifu katika mitihani wakijua wanachojali walimu wao ni matokeo tu. Wanafunzi wanafunzwa kufuata maelekezo kama vile mashine.
Huomba ruhusa watakapo kujibu swali watakapo kwenda chooni na pia hukaa katika mistari nyoofu katika madarasa yao!!
Ningefurahi kama mfumo huu ungebadilika
#Iam Zagarino