Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Hawa jamaa wako rigid sana kwanza mpaka leo wanatumia Posta pili mfumo wao wa mpaka ujaze form ndefu ya DS-174 mimi kwangu ni usumbufu Pia Mishahara yao hawa disclose Nawashukuru British high Commissioner (Dar es Salaam) wako smart sana Unatuma maombi kwa njia ya Email hakuna mambo ya Posta na Mshahara huwa wanautaja.