Mfumo wa udahili wa mwaka huu; kuna vyuo vitakosa wanafunzi kwa ujinga


Huoni kama hata nafasi ya

Muda utaaasema tu, niaonacho inabidi TCU wafanye utaratibu Wa kutoa naafasi ya watu kuomba tens maana kwenye awamu ya kwanza vyuo karibia vyote vitangangania wale wenye div one na vitaona viefikisha idadi takiwa kumbe waliyemchagua ndiye Huyo huyo kachaguliwa na vyio vingine kwa kigezo cha ufaulu
 
Bora zamani,tulikuwa tunajaza kabisa kama umeomba vyuo vingi (Multiple Selection),lakini hii ya mwaka huu kuna mkanganyuko mkubwa sana.Ngoja tusubiri nawaonea huruma wale wenye Division III tuu
 
Sure yaaan brother ,i think n tatizo kubwa na ofcourse litagharimu vyuo ving sana
 
Bora zamani,tulikuwa tunajaza kabisa kama umeomba vyuo vingi (Multiple Selection),lakini hii ya mwaka huu kuna mkanganyuko mkubwa sana.Ngoja tusubiri nawaonea huruma wale wenye Division III tuu
kuchaguliwa chuo hawaangalii Division yako wanaangalia cut off points zinazohitajika katika hiyo course uliyo apply kwahiyo swala la kupata Division III siyo issue,issue ni kwamba umefikia cut off points za hiyo course au la.
 
Its obvious watatoa nafasi tena kwasbabu siyo wote watakaochaguliwa batch 1.
 
Kusema ukweli..kuna mkanganyiko mkubwa sana..kuna wengi watakosa vyuo..na vyuo vingi vya private vitakosa wanafunzi..trh 2 sio mbali ngoja tusubiri
 
Jamani mnanipandishaa roho juu juu hatare ivi kwa muhitimu wa PCB mwenye chemistryB physicsD na Bios C anaweza pata nafasi muhimbili kwa kozi ya phermacy au udom medicine au aanze kutafta mtaji tuu apambane na hali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…