Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
- Thread starter
- #21
ukishachaguliwa utakuwa informed na utapewa muda ufanye confirmation kama utajiunga au la.uki confirm wanawasalisha jina TCU usipo confirm nafasi inakuwa wazi kwa wengine kufanya application kwahiyo hamna uwezekano wa chuo kukosa wanafunzi lkn kuna uwezekano wa wanafunzi kukosa vyuo.
Huoni kama hata nafasi ya
Simple solutions to complex problems are always the best.
1. Waombaji wenye sifa walioomba kozi hii kama chaguo lao la kwanza wote wapate.
2. Je, bado nafasi bado zipo? Kama nafasi bado zipo, zijazwe na waliochagua kozi hii kama chaguo lao la pili.
3. Endelea vivyo hivyo kwa machaguo mengine mpaka nafasi zijae au waombaji wenye sifa waishe.
4. Ushindani wa cut-off points ni miongoni mwa kila chaguo.
Kwa utaratibu huo, watakaopata nafasi walio wengi ni wale waliochagua kozi husika kama chaguo la kwanza. Hawa walio wengi wao wataenda kwenye kozi husika.
No problem!
Muda utaaasema tu, niaonacho inabidi TCU wafanye utaratibu Wa kutoa naafasi ya watu kuomba tens maana kwenye awamu ya kwanza vyuo karibia vyote vitangangania wale wenye div one na vitaona viefikisha idadi takiwa kumbe waliyemchagua ndiye Huyo huyo kachaguliwa na vyio vingine kwa kigezo cha ufaulu