Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,641
- 93,337
Utaratibu ni mbovu sana.
nashkuru umeliona hilo mkuuUnajua kuna vijana wanataka kujifanya wanajua mambo ya vyuo wakati wana elimu ya secondary.
Umeandika nadharia sana, utaratbu huu ulikuwepo mwanzo kabla ya kuwepo TCU
ndio maana uliachwa kwa sababu ya changamoto zake! umerudishwa kisiasa tu kwa kuwa mfalme kasema