Mkuu hujaenielewa nachomanisha mfano kama bot kuna kiasi cha tilioni 100 ambacho ukicheck na kubalance kiasi katika term ya digit kwenye computer kinawiana na cash, sasa mkubwa yeyote pale akaamua kuongeza digit mfano kwenye tilioni 100 akaongeza sifuri hata 4 na zikasomeka tilioni laki 1 wakati katka mfumo wa cash/notes+coins zikabaki vilevile tilioni 100 halafu hapohapo akafanya ununuzi mfano china kwa njia ya kieletronic je nchi husika itajuaje kwamba manunuzi yaliyofanyika ni hela hewa? Mfano rahisi labda ww umepeleka hela elf10 teller akakosea na kuongeza sifuri 2 mbele na kusomeka kama milion 1 je hiyo haiwez ikatokea staf wa bot akafanya makusudi kwa nchi za nje make hapo anakuwa hajaimiza nchi yake bali nchi alikofanya manunuzi make yeye anadeliver material?
Mkuu hujaenielewa nachomanisha mfano kama bot kuna kiasi cha tilioni 100 ambacho ukicheck na kubalance kiasi katika term ya digit kwenye computer kinawiana na cash, sasa mkubwa yeyote pale akaamua kuongeza digit mfano kwenye tilioni 100 akaongeza sifuri hata 4 na zikasomeka tilioni laki 1 wakati katka mfumo wa cash/notes+coins zikabaki vilevile tilioni 100 halafu hapohapo akafanya ununuzi mfano china kwa njia ya kieletronic je nchi husika itajuaje kwamba manunuzi yaliyofanyika ni hela hewa? Mfano rahisi labda ww umepeleka hela elf10 teller akakosea na kuongeza sifuri 2 mbele na kusomeka kama milion 1 je hiyo haiwez ikatokea staf wa bot akafanya makusudi kwa nchi za nje make hapo anakuwa hajaimiza nchi yake bali nchi alikofanya manunuzi make yeye anadeliver material?
Ongeza dimensions za kufikiria...., fikiria pia kudesign na kutengeneza....., pia fikiria coins za chini kabisa kama shs 10, Tsh 20 ambazo bado ni hela halali..., unafikiri wale wazungu wanaotutengenezea tunawapa Shs Tsh 15 kwa kila coin moja ya Tsh 20? Yaani atengeze zaidi ya coins 100 ili apate USD moja?
Ni mawazo tu..., hebu weka hypothesis zako nikuelewe
Walishafanya hiyo ya kuongeza sifuri hao mastaf wa bot asee walibembea walisumbua hapa mjini mpaka
Huu mfumo wetu wa elimu kweli ni shidaaaa. Mpaka mtu anajiunga na jamii forum hajui maana ya pesa, ilianza vipi, inahusiana vipi na uzalishaji, ina maana gani mzunguko wa fedha, kwa nini kuna noti chakavu na mpya? Hii nchi sasa ipo hatarini. Wengi waliopo jamii forum ni watu ambao wameshamaliza sekondari. Lakini elimu ya kawaida ya dunia hwaijui. Maana yake wamenyimwa haki hiyo mpaka mwisho wao. Hii inatisha sana. Kuzaliwa mjinga, kuishi mjinga na kufa mjinga. Basi tujipange walau kizazi kijacho wasiishi ujinga huu.
Duuh hilo haliwezekani kiuchumi,
Nitasema machache ingawa mimi sio mwanauchumi.
Pesa lazima ilete stability kwenye uchumi kwa kua ni njia iliyokubaliwa kua medium of exchange.
Pesa ili ilete hiyo stability kwenye uchumi ni lazima izingatie yafuatayo:
1. Iwe accepted na jamii husika as a medium of exchange.
2. Pesa lazima iwe scarce, yaani iwe haba ili watu washiriki kuisaka na kupitia hapo shughuri za kiuchumi zitafanyika na nchi itasonga mbele kimaendeleo( kumbuka maendeleo ni dhana pana sana sio uchumi tu).
3. Pesa lazima iwe durable, yaani iweze kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika wala kushuka thamani mara kwa mara, kama hilo litafanikiwa basi uchumi utakua stable.
4. Pesa ni lazima iwe portable, yaani ni lazima iwe ndogo ili iweze kubebeka na kutumika kwa urahisi.
Wanauchumi mtanisaidia mengine siyajui.
Toa jibu we profesa majalala!
Katika uchumi wa leo raia anaweza kumiliki pesa ambazo ni figures tu katika computer, na hazipo noti.
Anatumia card tu kulipia, hesabu zinafanyika kwenye computer, anazolipa zinatolewa kwenye akaunti, zinazoingia zinaingia.
Ila kibongobongo huko bado hatujafika kwa sana.
Benki kuu huangalia milinganyo ya uwepo wa fedha katika mzunguko kabla ya kuamua kuchoma.za zamani ili kutosababisha upungufu wa fedha katika physical circulation.
ndugu yangu kama noti zenye thamani ya Tsh milioni kumi zimechakaa na benki ikazichoma moto au kuziondoa kwenye mzunguko kisha ikaingiza kiasi hkohiko tena kwenye mzunguko kwa noti mpya;je itapunguzaje pesa kwenye mzunguko?
Kati ya za zamani zinapochomwa na mpya zinapokuja inabidi kupanga ratiba ya kuziingiza mpya katika mzunguko huku za zamani zikichomwa moto, ili kusiwe na uhaba sana wa fedha na wala fedha zisijae sana mtaani.
nionavyo mimi njia zinazotumika kuinject money into circulation ni ile ile,so hata kama wataamua kuzibadili noti haiwez kuwa kwa mara moja kwasababu noti chakavu haziendi kwa mara moja benki kuu.
Labda niongeze swali;hivi pale inapotokea hela imepotea au imeungua,benki kuu inatrace vipi kujua hela kiasi kadhaa imeondoka kwenye mzunguko?
mi najua kama tanzania wanataka kuipa kampuni tenda ya kutengeneza pesa wanailipa hiyo kwa pesa za kufanyia biashara za kimataifa kama dollar. hiyo pesa siyo lazima iwe equivalent na shillingi iliyotengenezwa. inawezekana kutengeneza 10,000 ukatumia 1000. na kutengeneza 50 ukatumia 80. jambo la kuzingatia ni kuwa kazi ya pesa ni kwenda kurahisisha biashara kwa hiyo inakuwa inakazi yenye thamani kubwa.Salaam wakuu
Leo kijana wenu nimewaza sana kuna jambo silielewi..lakini naamini hapa wapo wahusika wakunisaidia au hata wale wenye ujuzi
Hivi pesa inapotengenezwa(kiwandani sijui) taifa husika linaenda kuinunua au wanabadilishana vipi?yaani ukiweka oda ya kutengenezewa hela wewe unapeleka nini unapoenda kuchukua pesa zako?
Na kama kuna biashara hufanywa hua wanabadilishana na kitu gani?
Je kweli wanainunua kwa pesa?yaani umuuzie ng'ombe maziwa au nyama.duuuuh!yeye anaitengeneza sasa wewe unampa nini?
Na je?inapotengenezwa ni kua ya zamani inateketezwa au au zinazidi kujazana?
Karibuni mnisaidie wakuu
Shukran.
ukifanya hivyo utapunguza thamani ya pesa yako na kuongeza mfumuko wa bei. hizi zilikuwaga akili za idi amini.Hapo hapo naongezea, wakati nchi haina hela kwanini tusiwaambie marafiki zetu wachina wakatujengea kiwanda cha hela hapa ili tuzalishe wenyewe
njia kubwa ni benki kuu, kisha benki za biashara kulingana mtaji wako harafu kwenye mzunguko huuingia watu wakienda benki kukopa. hata serikali nayo hukopa.Hapo hapo... ni kiasi gan hutengenezwa kwa mwezi...? Na ikija inaingilia wapi....? I mean anapewa nan
zamani ilikuwa hivyo lakini mattumizi ya dhahabu yalikoma miaka ya 1970's.Mara nyingi malipo ya kutengeneza pesa huwa ni kubadilishana vitu vyenye thaman kubwa baina ya serikali/nchi inayotengenezewa pesa na kampuni inayohusika ktk kutengeneza hizo pesa,mara nyingi nchi hutoa akiba yake ya dhahabu,almasi,tanzanite au madini mengine yenye thaman kubwa kama malipo ya kutengenezewa pesa kulingana na makubaliano watakayokua wameafikiana.
hapo ndiyo huwa nawashangaa wanaosema riba ni dhambi wakati bidhaa zingine wanauza kwa faida!?Hela mbona ni bidhaa tu, inauzwa na kununuliwa kwa hela hata baada ya kuchapishwa.
Unapoenda benki kuomba mkopo, ukapewa mkopo kwa interest rate si unakuwa umenunua hela kwa hela hapo, au vipi?
njia kubwa ni benki kuu, kisha benki za biashara kulingana mtaji wako harafu kwenye mzunguko huingia watu wakienda benki kukopa. hata serikali nayo inatakiwwa hukopa!. jap nina na serikali zetu