sameer0220
Member
- Nov 10, 2024
- 21
- 37
Ni masomo ya kusoma amechaguliwa ART na sio sayansi anayoitakaInawezekanaje hili?
Em waja mkuje mtoe ufafanuzi, maana hata 4m 3 huchagui comb, ila unachagua masomo ya kusoma.
Hii ya kuchagua comb ni mpyaa kabisaa. Lol
Ccm IMEIngiaje hapo?Hizo ni mbinu mpya za CCM Ili kuendelea kututawala kama mizoga
Ahaa kwahiyo ni wanaanza toka form 1 kutosoma Physics, biology na Chemistry?Kuna mikondo ya Sayansi,Sayansi ya jamaii, sports n.k (Mikondo ya Jumla)hapa ni wale wasio wa Amali.Huyo nduguyo kachaguliwa Sayansi ya Jamii. Wengine watakuja kuongezea.
Labda aseme ameambiwa asome Arts, kulingana na uwezo wake darasani, ila asiseme Comb tena HKL, em uliza shuleni kwake wakupe ufafanuzi zaidi.Ni masomo ya kusoma amechaguliwa ART na sio sayansi anayoitaka
HKL ni sayansi ya jamii? Akati ni pure Arts.Kuna mikondo ya Sayansi,Sayansi ya jamaii, sports n.k (Mikondo ya Jumla)hapa ni wale wasio wa Amali.Huyo nduguyo kachaguliwa Sayansi ya Jamii. Wengine watakuja kuongezea.
Iongeze HGL kwenye sayansi jamii.HKL ni sayansi ya jamii? Akati ni pure Arts.
Sayansi ya jamii, ni HGE, EGM, ECA, CBA,
pure sayansi, ni PCB, CBG, PCM, PGM, PMC
pure Arts, ni HKL, HGL, HGK
Shirikisha ubongo wako utagundua CCM inahusika vipi hapoCc
Ccm IMEIngiaje hapo?
Sayansi ya jamaii kwa mtaala mpya Kuna masomo sita ya Msingi yaani anasoma Geo, Business, Kiswahili, English,Historia ya Tanzania na Maadili na Basic Mathematics+History.Hapo yasizidi kumi,sasa mwanafunzi anaweza ongeza Labda Edk,divinity, Biology n.k.Hawa hawagusi kabisa Phys Wala Chem.Ila History ni lazima hapo kumbuka mikondo mingine kama Sayansi,Tehama, Sports n.k Hawa hawagusi History.HKL ni sayansi ya jamii? Akati ni pure Arts.
Sayansi ya jamii, ni HGE, EGM, ECA, CBA,
pure sayansi, ni PCB, CBG, PCM, PGM, PMC
pure Arts, ni HKL, HGL, HGK
Mwanao akikuambia HKL ujue yupo Sayansi ya Jamii maana ndipo ilipo History.HKL ni sayansi ya jamii? Akati ni pure Arts.
Sayansi ya jamii, ni HGE, EGM, ECA, CBA,
pure sayansi, ni PCB, CBG, PCM, PGM, PMC
pure Arts, ni HKL, HGL, HGK
Hapo nazungumzia mtoto wa Form one kwa mtaala mpya.Sio Advance.Kama mleta Mada alivyoshangaa.🙏🙏HKL ni sayansi ya jamii? Akati ni pure Arts.
Sayansi ya jamii, ni HGE, EGM, ECA, CBA,
pure sayansi, ni PCB, CBG, PCM, PGM, PMC
pure Arts, ni HKL, HGL, HGK
Mtaala mpya unamtaka mtoto achague mwenyeww wap anataka kuelekea kutokana na ndoto zake huko mbeleni, hivyo basi amepewa nafasi ya kuchagua asome masomo ya sayansi au sanaa(masomo yasipungue 8 na yasizid 10), angalia nia ya mtoto au hata wewe unataka awe nani huko mbeleni halafu mchagulie cha kusoma kutokana na uelekeo wakeNina ndugu yangu yuko kidato cha kwanza shule ya private ila leo karudi na barua toka shule kwamba kachuguliwa kusoma HKL kwa maana ya masomo ya ART na ni yuko kidato cha kwanza je huu ni mtaala mpya wa kulazimishwa kusoma combinations fulani bila mwanafunzi kuchagua?
Na hata bado hajafika Kidato cha tatu?
Kama umeandika kwa uchungu sana, tatizo ni nini?Cc
Ccm IMEIngiaje hapo?
Siyo tu nia na uelekeo wa mtoto bali pia UWEZO wa mwanafunzi kumudu masomo mfano ya sayansi ni muhimu sana.angalia nia ya mtoto au hata wewe unataka awe nani huko mbeleni halafu mchagulie cha kusoma kutokana na uelekeo wake