KERO Mfumo wa GoTHOMIS unasumbua, kuna muda unachelewesha huduma hospitali, uangaliwe vizuri

KERO Mfumo wa GoTHOMIS unasumbua, kuna muda unachelewesha huduma hospitali, uangaliwe vizuri

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mfumo wa Taarifa za Usimamizi wa Vituo vya Kutoa Huduma za Afya (GoTHOMIS) unaotumika hospitali unasumbua sana, unakuta mgonjwa anasubiri for 2 hours hadi kuja kupata huduma.

Kama wanakuwa wanarekebisha watafute hata mida ya usiku na si siku ambazo wagonjwa wanakuwa ni wengi. Kero hii ipo hospitali zote zinazotumia mifumo hiyo.

Mfumo wa Kielektroniki wa Taarifa za Afya (GoTHOMIS) ni mfumo wa kilektroniki ulianzishwa kwaajili ya usimamizi na uendeshaji wa vituo vya kutolea huduma za Afya.


=======================​
KWA MUJIBU WA TAMISEMI
GoTHOMIS (Government of Tanzania Health Operations Management Information System) ni mfumo wa kidijitali wa Serikali ya Tanzania ulioundwa kuboresha utoaji huduma, kurahisisha usimamizi wa hospitali, na kuunganisha bima za afya (NHIF, CHF). Mfumo huu unahusisha moduli za usimamizi wa wagonjwa, maduka ya dawa, na ukusanyaji mapato
 
Back
Top Bottom