monte caro
Member
- May 9, 2014
- 14
- 12
habari wana Forum,
msaada kwa waliowahi pata hii changamoto na kutatuta. nime create tranfer kuhama na msimamizi wangu wa kituo cha kazi amaesha pitisha maombi kupigia mfumo wa ESS. ili niweze endelea na kipengele kinachofata kuna maneno inaleta kama nivoeka picha hapo chini, mwenye uelewa au aliwahi pata hii changamoto akatatua tufahamishane tafadhali
Inaandika (Information: 9076 Designation not found on Destination Organization)