Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,556
kubeba maboksi kunahitaji elimu? Usitudanganye bahati nzuri tunakufahamu fika!Ndo maana wengine elimu ya nchi hii ilitushinda tukaamua kwenda kuisaka kwingineko huko duniani!
Sawa, kwahiyo ukitumia kiswahili sekondari ukianza University uanze kujifunza lugha ya kiingereza? Umeangalia wenzako duniani wanafanyaje kuhusu lugha ya kiingereza kama lugha ya kufundishia? Angalia Sweden pamoja na "kiswahili" chao, wanajua umuhimu wa kujua Kiingereza dunia hiiWakuu Ila Mfumo wa nchii hii wa kutumia kiingereza kama Lugha ya kufundishia Mashuleni Kwa Maana ya Shule Ya Msingi Na Secondary umepitwa na wakati.
......
Ni sawa na kama uko Arusha unataka kwenda Moshi mjini so unaelekea Babati then Kondoa halafu Singida then unapanda hadi Mwanza unashuka Tabora.
......
Halafu Unaingia Simiyu unatokea West Kilimanjaro unashuka hadi Rombo Mashati unaenda Tanga unachukua boti hadi Zanzibar afu unaingia Dar then Chalinze.
.....
Then Unashuka Wami unaingia Segera, Korogwe, Mombo, Same, Mwanga, Njia Panda, Unakula njia ya Uchira, Kiboroloni, Majengo, Unaingia njia ya Round about ya Jcmc afu ndo uingie mjini.
.....
Wakati ni suala la kuwasha gari unaingia tengeru then Usa, Katiti, King'ori, Kia, Boma, Sadala, Machine Tools, Unakula Njia Ya Mnadani, Mferejini, Maili 6, Memorial, Chagbay then umefika mjini.
.......
Mfumo tulio nao unafanya elimu iwe ngumu mara dufu. Kwanza mtu atumie nguvu nyingi kuelewa lugha afu ndo aje aelewe alichofundishwa.
.......
Ndo maana ubunifu wenye Jukumu la Kusimamia Elimu ya Nchi Hii sjui Tuseme ni mdogo sana, Muda wa kubadilika na kutumia Kiswahili ni SASA!
.......
Samahani Wakuu Hizo Njia Nilizozitaja Zito Ziko Kaskani Mwa Tz.
Tutumie Lugha Mama, Maana Nchi Nyingi Zilizoendlea Wanatumia Lugha Yao.Ndo maana wengine elimu ya nchi hii ilitushinda tukaamua kwenda kuisaka kwingineko huko duniani!
kubeba maboksi kunahitaji elimu? Usitudanganye bahati nzuri tunakufahamu fika!

Mimi nabeba boksi?
Hakika kwa [emoji817]% hunifahamu/ hamnifahamu.
Wanaonijua na kunifahamu hawawezi kutamka uzushi kama huo wako.
Mwache.Acha Uvivu wa Kufikri
Mwache.
Ndo anazidi kunithibitishia kuwa hanifahamu.
Nahisi mkoloni wa lugha bado yupo vichwani mwa baadhi ya watanzania wenzetu.Tuondoa akili yetu kwenye kifungo hiki.Ee mwenyezi Mungu tunusuru.Bora Mbeba Mabox ulaya Kulikko Kuwa Mshabiki Wa Mbowe
Nakufahamu, kazi unayofanya huko USA haihitaji wewe kuhama kutafuta elimu nzuri. Sema wewe unatafuta maisha not because our education system ni mbovu, NO. Ungelikuwa MD unatafuta kuwa surgeon mzuri ningelikuelewa kuwa elimu ya medicine ya hapa haitakufanya uwe surgeon mzuri wa kupata say international or national recognition! Hivyo ukiondoka kwenda USA kutafuta elimu utapongezwa!Mwache.
Ndo anazidi kunithibitishia kuwa hanifahamu.
It seems Mbowe is troubling you! Unalala unamuota! he is making hard time of you!Bora Mbeba Mabox ulaya Kulikko Kuwa Mshabiki Wa Mbowe
Nakufahamu, kazi unayofanya huko USA haihitaji wewe kuhama kutafuta elimu nzuri. Sema wewe unatafuta maisha not because our education system ni mbovu, NO. Ungelikuwa MD unatafuta kuwa surgeon mzuri ningelikuelewa kuwa elimu ya medicine ya hapa haitakufanya uwe surgeon mzuri wa kupata say international or national recognition! Hivyo ukiondoka kwenda USA kutafuta elimu utapongezwa!
Wakuu Ila Mfumo wa nchii hii wa kutumia kiingereza kama Lugha ya kufundishia Mashuleni Kwa Maana ya Shule Ya Msingi Na Secondary umepitwa na wakati.
......
Ni sawa na kama uko Arusha unataka kwenda Moshi mjini so unaelekea Babati then Kondoa halafu Singida then unapanda hadi Mwanza unashuka Tabora.
......
Halafu Unaingia Simiyu unatokea West Kilimanjaro unashuka hadi Rombo Mashati unaenda Tanga unachukua boti hadi Zanzibar afu unaingia Dar then Chalinze.
.....
Then Unashuka Wami unaingia Segera, Korogwe, Mombo, Same, Mwanga, Njia Panda, Unakula njia ya Uchira, Kiboroloni, Majengo, Unaingia njia ya Round about ya Jcmc afu ndo uingie mjini.
.....
Wakati ni suala la kuwasha gari unaingia tengeru then Usa, Katiti, King'ori, Kia, Boma, Sadala, Machine Tools, Unakula Njia Ya Mnadani, Mferejini, Maili 6, Memorial, Chagbay then umefika mjini.
.......
Mfumo tulio nao unafanya elimu iwe ngumu mara dufu. Kwanza mtu atumie nguvu nyingi kuelewa lugha afu ndo aje aelewe alichofundishwa.
.......
Ndo maana ubunifu wenye Jukumu la Kusimamia Elimu ya Nchi Hii sjui Tuseme ni mdogo sana, Muda wa kubadilika na kutumia Kiswahili ni SASA!
.......
Samahani Wakuu Hizo Njia Nilizozitaja Zito Ziko Kaskani Mwa Tz.
Unskilled manpower! "kubeba mabaksi". Your labor can be hired and fired at will!Hunifahamu. Hilo nalijua 💯%.
Kudhani unanifahamu na kunifahamu ni vitu viwili tofauti.
Anayenifahamu hawezi kusema nabeba boksi literally.
Hunifahamu ndugu. Usijitie ujuaji.
Kama wanifahamu itaje kazi nayofanya....
Unskilled manpower! "kubeba mabaksi". Your labor can be hired and fired at will!
Afadhali Nyani, from my reading of your posts, I am prety sure huna elimu yoyote ya kuweka reasoned arguments! Itakuwa form 4or six failure au hukuwahi fika huko!Achana nae maana kujifananisha na ww ni sawa na Kufananisha Kitambi Na Mimba
Afadhali Nyani, from my reading of your posts, I am prety sure huna elimu yoyote ya kuweka reasoned arguments! Itakuwa form 4or six failure au hukuwahi fika huko!
wewe utakuwa MCHAGAWakuu Ila Mfumo wa nchii hii wa kutumia kiingereza kama Lugha ya kufundishia Mashuleni Kwa Maana ya Shule Ya Msingi Na Secondary umepitwa na wakati.