Mfumo wa Elimu Tz ni batili

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Ukiangalia matatizo mengi yanayo fubaisha uchumi wa TZ yamejikita zaidi ktk mfumo wetu wa elimu.

Na ukiangalia kwa makini utaona matatizo ya TZ yapo ktk kila ngazi ya jamii yani Taifa hadi kitongoji na ufisadi upo kila idara ya jamii si tu serikalini hadi kwenye vyama binafsi na hichi ndicho kimenisukuma kuchunguza mfumo wetu wa elimu na kubaini kuwa mfumo wa elimu ndicho chazo cha matatizo yote.
mfumo wetu ni
1. wakibeberu
2. hamwandai mhusika badala yake unamfanya kufubahaa kiakili na matokeo ya mfubao huo ni UFISADI.

UBEBERU.
Ni jambo la aajabu sana kuona wasomi kukaa na kutunga sheria hii
mtoto anayehitimu darasa la saba asipochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza ni kosa kurudia darasa yani kukalili darasa,eti aende kulitumikia Taifa na kulijenga jamani mtoto huyu wa miaka 11-13 atafanya nini zaidi ya kutumbukia ktk Ngono na madawa ya kulevya ?

Nikija Vyuo vikuu
Elimu ya chuo kikuu ndio elimu mama kwa uhai wa uchumi wa nchi ,lakini kinachosikitisha mfumo wake hauendani na matakwa husika ,umekuwa ukiendeshwa kwa mtindo ule ule usiotofautiana na mtindo wa shule za msingi.
Yani matrials chukua nenda kakalili harafu yote uliyojifunza semister nzima njoo uyajibu ndani ya masaa mawili na hayo masaa mawili ndio mustakbali wako mzima kuendelea na chuo ama la!!

Staili hii ya uendeshaji imekuwa ukizima vipaji vingi na kuvilazimasha ku kalili na mwisho kuvianda vipaji hivyo kuwa mafisadi ANGALIA mafisadi wote ni wasomi, wote wanaoliangamiza Taifa ni wasomi.
Na hili tatizo ndicho chazo kikuu cha udumavu wetu kiuchumi na isipoangaliwa kwa makini bado naamini hatutaenda kokote.
Angalieni wakati wa NYERERE mafisadi walikuwepo lakini kwa kiwango cha chini sana bado UCHUMI ulikuwa DUNI, akaja RUKSA akaruhusu vyote mambo yaleyale na hizi awamu ya mkapa watu weweee
awamu hii JK watu weweeeee .

MIMI sina chama cha siasa ,na watu wanafikiri kuondoa ccm ndio mwarobaini wa TATIZO .Hii si kweli Tatizo letu ni MFUMO BEBERU wa elimu ulioachwa na wakoloni na tunaendelea nao,na huu mfumo karibu nchi zote za afrika bado zinaukumbatia na kuliweka bara la AFRIKA kuwa bara giza.

Waulizeni wakenya wezetu walidhani tatizo ni KANU wakaweka sijui nini tatizo bado likawa sugu sasa wanarudi sijui chama cha chungwa naamini mambo yatakuwa yaleyale.

Tatizo si chama tatizo ni watu husika ,mfano tuchukulie CCM,CHADEMA in reality hakipo kitu kama hicho na kilichopo ni watu na watu ni watanzania kumbe kinachoboroga si chama bali watu.mfano kama NCCR ni watanzania na waliobonga CCM ni watanzania kumbe hata mkiweka NCCR bado boronga kumbe ni watanzania walewale.
Mhimu cha kufanya ni kuwabadilisha watu ambao ni watanzania kivipi kwa kuangalia mfumo wenye matwakwa endelevu .
kubadili chama si tija angalieni wana siasa wetu wanavyohama vyama hapa na kwenda pale pale na kurudi huku ,huku kote ni matokeo ya mfumo wa elimu Turekebisheni Elimu haya mengine yote yatajipa yenyewe maana kizazi cha Elimu hii kitapita .
 
ni kweli sekta ya elimu inahitaji ukombozi.na pia dira ya elimu inahitaji ibadilishwe na itanuliwe .na tunahitaji kutoa kipaumbele katika elimu za vipaji pia sio tushikilie chemistry na physics tu.na badili ya yote lazima tuunde mbinu bora ya kuhamasisha watoto kujua thamani ya elimu kabla ya kuanza shule na muda wanaokuwa shule.kwani watoto wengi hawahamasishwi na matokeo yake wanaona kuenda shule ni kupoteza muda.
 
Kama kuna kipengele cha elimu yetu ningeshauri kirekebishwe ni kile cha kuweka roadblock kwenye mtihani wa form VI. Ninachozungumzia ni ile system ya kuwa mwanafunzi wa form VI harusiwi kufanya mtihani mpaka awe amepata at least 3 credits kwenye matokeo ya form IV.

Ukigeuza cheti cha Form IV, utaona Div IV imekuwa scaled as "Pass." If so, then kwa nini wenye Div IV wanalazimika kurudia mtihani wa Form IV ili kusaka 3 credits kwa ajili ya ku sit kwa mtihani wa Form VI?
 
Ukiangalia matatizo mengi yanayo fubaisha uchumi wa TZ yamejikita zaidi ktk mfumo wetu wa elimu.

Na ukiangalia kwa makini utaona matatizo ya TZ yapo ktk kila ngazi ya jamii yani Taifa hadi kitongoji na ufisadi upo kila idara ya jamii si tu serikalini hadi kwenye vyama binafsi na hichi ndicho kimenisukuma kuchunguza mfumo wetu wa elimu na kubaini kuwa mfumo wa elimu ndicho chazo cha matatizo yote.
mfumo wetu ni
1. wakibeberu
2. hamwandai mhusika badala yake unamfanya kufubahaa kiakili na matokeo ya mfubao huo ni UFISADI.

UBEBERU.
Ni jambo la aajabu sana kuona wasomi kukaa na kutunga sheria hii
mtoto anayehitimu darasa la saba asipochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza ni kosa kurudia darasa yani kukalili darasa,eti aende kulitumikia Taifa na kulijenga jamani mtoto huyu wa miaka 11-13 atafanya nini zaidi ya kutumbukia ktk Ngono na madawa ya kulevya ?

.
Katika hili sidhani kama kurudia shule kutasaidia chochote, zaidi ya kuendelea kumdumaza mtoto huyo. Mimi nafikili kutokana na kuongezeka kwa sekondari wakati huu, (nasikia kuna sekondari hadi kwenye Kata) ni vema elimu ya msingi ikaishia kidato cha nne, na iwapo mwanafunzi atashindwa kuendelea na masomo, kuwepo na vyuo mbalimbali vyenye uwezo wa kutoa taaluma kwa kiwango cha mwanafunzi aliyemaliza kidato hicho.
 
Back
Top Bottom