Nimehamisha umiliki mwezi uliopita. Kiukweli mfumo ni mzuri na rahisi kutumia unaepusha ucheleweshaji wa muda na kazi.Habari wanajamii
Mbele yenu naomba kufahamishwa kama kuna mtu aliyewahi kuhamisha umiliki (transfer) wa ardhi, hati za mfumo mpya kupitia e- ardhi. Maana mimi nimefanya kila kitu mpaka kupata tax clearance lkn mfumo ndio unanikwamisha kuendelea na transfer. Nimefika jiji majibu ni yaleyale '"transfer mfumo mpya subirini"", kama mjuavyo subira yavuta heri lakini pia ngoja ngoja yaumiza matumbo. Naombeni mliofanikiwa kufanya transfer mniambie nyie mlifanyaje (NB Hati za mfumo mpya) Wizara ya Ardhi
Mfumo mpya DodomaKaka upo mkoa gani ? Na ulihamisha umiliki wa hati ya mfumo mpya au mfumo wa zamani?
Tuma za kwako pm mkuu halafu nikipigieNaweza pata namba zako mkuu tuwasiliane
Shukrani mkuu nishauonaSearch e ardhi utaiona
updates mkuuHabari wanajamii
Mbele yenu naomba kufahamishwa kama kuna mtu aliyewahi kuhamisha umiliki (transfer) wa ardhi, hati za mfumo mpya kupitia e- ardhi. Maana mimi nimefanya kila kitu mpaka kupata tax clearance lkn mfumo ndio unanikwamisha kuendelea na transfer. Nimefika jiji majibu ni yaleyale '"transfer mfumo mpya subirini"", kama mjuavyo subira yavuta heri lakini pia ngoja ngoja yaumiza matumbo. Naombeni mliofanikiwa kufanya transfer mniambie nyie mlifanyaje (NB Hati za mfumo mpya) Wizara ya Ardhi
Huu mfumo sio rafiki kabisa kwa Watumiaji, kwanza sijui waliutyengeneza kumlenga nani, maana heading ni za kiingereza lakini ndani wanahitaji taarifa kwa kiswahili, lakini pia ukianzisha jambo inakuruhusu ufanye hatua kadhaa lakini mbele kuna hatua utakwamba, mfano una malalamiko ya kiwanja utaweka taarifa zako baadhi, ukifika aina malalamiko (complaint details), mfumo haukuruhusu kuchagua wala kuandika, unakua umeishia hapo hapo na mbele haukuruhusu kuendelea. Tanzania na teknolojia bado sanaHabari wanajamii
Mbele yenu naomba kufahamishwa kama kuna mtu aliyewahi kuhamisha umiliki (transfer) wa ardhi, hati za mfumo mpya kupitia e- ardhi. Maana mimi nimefanya kila kitu mpaka kupata tax clearance lkn mfumo ndio unanikwamisha kuendelea na transfer. Nimefika jiji majibu ni yaleyale '"transfer mfumo mpya subirini"", kama mjuavyo subira yavuta heri lakini pia ngoja ngoja yaumiza matumbo. Naombeni mliofanikiwa kufanya transfer mniambie nyie mlifanyaje (NB Hati za mfumo mpya) Wizara ya Ardhi
Huu mfumo sio rafiki kabisa kwa Watumiaji, kwanza sijui waliutyengeneza kumlenga nani, maana heading ni za kiingereza lakini ndani wanahitaji taarifa kwa kiswahili, lakini pia ukianzisha jambo inakuruhusu ufanye hatua kadhaa lakini mbele kuna hatua utakwamba, mfano una malalamiko ya kiwanja utaweka taarifa zako baadhi, ukifika aina malalamiko (complaint details), mfumo haukuruhusu kuchagua wala kuandika, unakua umeishia hapo hapo na mbele haukuruhusu kuendelea. Tanzania na teknolojia bado sana
Mimi hata mkoa wa dar es salaam hautokei hali ya kua walisema kwenye mikoa ya kuanza mfumo huu dar es salaam utakuwepoHuu mfumo sio rafiki kabisa kwa Watumiaji, kwanza sijui waliutyengeneza kumlenga nani, maana heading ni za kiingereza lakini ndani wanahitaji taarifa kwa kiswahili, lakini pia ukianzisha jambo inakuruhusu ufanye hatua kadhaa lakini mbele kuna hatua utakwamba, mfano una malalamiko ya kiwanja utaweka taarifa zako baadhi, ukifika aina malalamiko (complaint details), mfumo haukuruhusu kuchagua wala kuandika, unakua umeishia hapo hapo na mbele haukuruhusu kuendelea. Tanzania na teknolojia bado sana