Mfumo wa bank statements

misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
13,917
9,729
Habari zenu naomba Kufundishwa kwenye bank statements wanatumia mfumo gani mwenye kujua tafadhari
 
Unamaanisha programu inayotumika? Kama ni hivyo huwa programu za benkizinaitwa Bank information management system
 
Ndio mkuu nilikuwa nataka kujua program yake,je mtu wa kawaida anaweza kutumia au kwa taasisi za fedha tu?
 
Back
Top Bottom