Mfumo wa ajira kwa walimu uwe kama ifutavyo

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA.

Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu kwa serikali yangu ya Tanzania, kuanza kutoa ajiri za walimu kwa mkataba yaani iwe iv;

📌📌📌Mwalimu aajiriwe kwa mkataba wa miaka kumi tu baada ya apo mkataba wake uishe nafasi yake ichukuliwe na mwalimu mwingine ambae bado ni non employed📌📌

FAIDA YA KUWA NA HUU MFUMO
01. Itasaidia kupunguza tatizo la ajira
02. Itaongeza nidhamu ya pesa kwa walimu walio ndani ya ajira, kwan, mwalimu atawekeza PESA yake ya mshahara kwa nidhamu akitambua ajira yake ni ya muda

📌📌📌 Zaidi ya yote Ikiwa serikali yangu itafata huu mfumo sharti ni moja iongezee na kupandisha mishahara kwa walimu ili ndani ya miaka kumi ya utumishi wao watoke angalau na kitu kitakacho wainua📌📌

Karibuni kwa mawazo yenu wakuu wangu
 
Kwanini ajira za walimu tu na siyo kwa ajira zote kama lengo lako ni kufungulia nafasi kwa vijana kupewa ajira..??..

Hilo haliwezekani...

Ushauri wa bure

Soma uje kujiajil siyo kuajiliwa na serikali
 
Kwanini ajira za walimu tu na siyo kwa ajira zote kama lengo lako ni kufungulia nafasi kwa vijana kupewa ajira..??..

Ushauri wa bure
Mimi ni mwanafunzi wa fani hii ya ualimu, hivyo kama ushaur huu utafaa kwa fani for si kosa kuchukuliwa
 
Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA.

Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu kwa serikali yangu ya Tanzania, kuanza kutoa ajiri za walimu kwa mkataba yaani iwe iv;

📌📌📌Mwalimu aajiriwe kwa mkataba wa miaka kumi tu baada ya apo mkataba wake uishe nafasi yake ichukuliwe na mwalimu mwingine ambae bado ni non employed📌📌

FAIDA YA KUWA NA HUU MFUMO
01. Itasaidia kupunguza tatizo la ajira
02. Itaongeza nidhamu ya pesa kwa walimu walio ndani ya ajira, kwan, mwalimu atawekeza PESA yake ya mshahara kwa nidhamu akitambua ajira yake ni ya muda

📌📌📌 Zaidi ya yote Ikiwa serikali yangu itafata huu mfumo sharti ni moja iongezee na kupandisha mishahara kwa walimu ili ndani ya miaka kumi ya utumishi wao watoke angalau na kitu kitakacho wainua📌📌

Karibuni kwa mawazo yenu wakuu wangu
Njaa na roho ya kwanini ndiyo inakusumbua
 
Mimi ni mwanafunzi wa fani hii ya ualimu, hivyo kama ushaur huu utafaa kwa fani for si kosa kuchukuliwa
Tatzo lako huenda umesoma masomo ya Arts, hivi mwalimu wa physics afanye kazi miaka 10 then aondoke huyo mwingine utamtoa wapi ?
 
Soma kwanza usije ukaferi ukakosa hata kazi ya kuendesha boda boda.

Wazo lako haliwezekani kwa tanzania hii.
 
Sio lazima ufundishe,unaweza kuanza bodaboda maana bodaboda wana maisha mazuri kuliko walimu
 
Boda boda yupi ana maisha mazuri? Watanzania bhana akili zao sijui nani alituroga

Boda boda ukimkuta aliye Jenga anabanda la chumba kimoja na sebule ndio maisha mazuri ayo?

Akipata na emergency yeyote unamkuta Hana hata akiba ndani, Hadi ukoo uchangishane ndy maisha mazuri ayo?

Ipo ivi, Boda wengi wanapata hela ya kununua Sandle, Air Nike( midosho), t-shirt za mapicha picha nyuma na mbele, kuwabutua ma dent na wake za watu Ovaaa
 
Kwani mpwayungu village alisemaje
 
Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA.

Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu kwa serikali yangu ya Tanzania, kuanza kutoa ajiri za walimu kwa mkataba yaani iwe iv;

📌📌📌Mwalimu aajiriwe kwa mkataba wa miaka kumi tu baada ya apo mkataba wake uishe nafasi yake ichukuliwe na mwalimu mwingine ambae bado ni non employed📌📌

FAIDA YA KUWA NA HUU MFUMO
01. Itasaidia kupunguza tatizo la ajira
02. Itaongeza nidhamu ya pesa kwa walimu walio ndani ya ajira, kwan, mwalimu atawekeza PESA yake ya mshahara kwa nidhamu akitambua ajira yake ni ya muda

📌📌📌 Zaidi ya yote Ikiwa serikali yangu itafata huu mfumo sharti ni moja iongezee na kupandisha mishahara kwa walimu ili ndani ya miaka kumi ya utumishi wao watoke angalau na kitu kitakacho wainua📌📌

Karibuni kwa mawazo yenu wakuu wangu
Haya ni MAWAZO ya JOBLESS.

Ukiwa huna AJIRA unakuwa na mawazo Kama haya.

Najua uko so desperate, kuwa Mvumilivu wakati wako utafika.
 
So serikali ivunje mkataba na mwalimu mwenye experience ya miaka 10 ije ikuchukue weye wa experience ya teaching practice? ,,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hebu jiandae for the second semester kule[emoji706][emoji706][emoji706]
JamiiForums mobile app
 
Haya ni MAWAZO ya JOBLESS.

Ukiwa huna AJIRA unakuwa na mawazo Kama haya.
Dah nimecheka sana Aya bana
So serikali ivunje mkataba na mwalimu mwenye experience ya miaka 10 ije ikuchukue weye wa experience ya teaching practice? ,,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hebu jiandae for the second semester kule[emoji706][emoji706][emoji706]
JamiiForums mobile app
Aaaha Aya kaka Apaa nasubil boom Sina hata mia😂😂
 
Mimi ninaona ni sawa. Kama nafasi hakuna za ajira zilizopo zigawanywe kwa usawa na hiyo ni njia moja wapo.

Kama home kuna robo ya nyama na mko 7 mtakula wazazi ama watatu kisha wanne wakose sababu haitoshi? Hili litazamwe kwa maslahi mema ya nchi la sivyo maafa hayatoisha Tanzania.
 
So serikali ivunje mkataba na mwalimu mwenye experience ya miaka 10 ije ikuchukue weye wa experience ya teaching practice? ,,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hebu jiandae for the second semester kule[emoji706][emoji706][emoji706]
JamiiForums mobile app
Hoja yake ni share of scarced resources. Sio uzoefu. Ukiwa na lengo zuri zaid kwenye jambo hayo mengine huwa yanakuja kufall on their respective places badae.
 
Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA.

Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu kwa serikali yangu ya Tanzania, kuanza kutoa ajiri za walimu kwa mkataba yaani iwe iv;

📌📌📌Mwalimu aajiriwe kwa mkataba wa miaka kumi tu baada ya apo mkataba wake uishe nafasi yake ichukuliwe na mwalimu mwingine ambae bado ni non employed📌📌

FAIDA YA KUWA NA HUU MFUMO
01. Itasaidia kupunguza tatizo la ajira
02. Itaongeza nidhamu ya pesa kwa walimu walio ndani ya ajira, kwan, mwalimu atawekeza PESA yake ya mshahara kwa nidhamu akitambua ajira yake ni ya muda

📌📌📌 Zaidi ya yote Ikiwa serikali yangu itafata huu mfumo sharti ni moja iongezee na kupandisha mishahara kwa walimu ili ndani ya miaka kumi ya utumishi wao watoke angalau na kitu kitakacho wainua📌📌

Karibuni kwa mawazo yenu wakuu wangu
mpwayungu village
 
Back
Top Bottom