Mfumo mpya wa elimu Kenya

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Replaces 8-4-4 system with 2-6-3-3-3 system. The child will take 2 years in pre school 6 in primary 3 in junior secondary 3 in senior secondary and a minimum of 3 in university. Under new system kenya will have four different types of secondary schools namely:
1. General

2. Technical

3. Talent

4. Vocational education

Talent schools will offer courses in performing and creative arts such as music,drama,and games besides common courses.

Vocational secondary schools will focus on artisan and trade courses in addition to common courses.

To implement the new system the goverment will have to hire additional 21,728 secondary school teachers and 30,637 primary school teachers. New changes will begin september 2013 and targets those currently in starndard 4.

Mfumo mzuri unazingatia kipaji cha mtoto.
 
Nimezipenda hizo types za secondary,Tz tulijaribu sana hilo maskini leo hii!
 
So what kama ni copy and paste? Mangapi tumecopy na kupaste tangu enzii...for once let us copy something which will benefit the next generation..upo hapo!
akili ya kiafrika ni kuendelea kutawaliwa,hii inaonyesha ni jinsi gani tusivyokuwa na uhuru wa kimawazo..bado ni watumwa wakubwa,kila kitu kama UK au US!!aaagrrrrhhhhh!
 
1. Ukiangalia Katiba ya Kenya ni kama ya USA

2. Education System Mpya inaonekana kama ya USA than British

Kenya Moved completely to US ways

Kwa Katiba yao nawapongeza sababu walivyo na matatizo ya Ukabila the US like Katiba itawasaidia kweli kuondoa hilo tatizo.
 
Replaces 8-4-4 system with 2-6-3-3-3 system. The child will take 2 years in pre school 6 in primary 3 in junior secondary 3 in senior secondary and a minimum of 3 in university. Under new system kenya will have four different types of secondary schools namely:
1. General

2. Technical

3. Talent

4. Vocational education

Talent schools will offer courses in performing and creative arts such as music,drama,and games besides common courses.

Vocational secondary schools will focus on artisan and trade courses in addition to common courses.

To implement the new system the goverment will have to hire additional 21,728 secondary school teachers and 30,637 primary school teachers. New changes will begin september 2013 and targets those currently in starndard 4.

Mfumo mzuri unazingatia kipaji cha mtoto.

badilisha hapa Tanzania........ mijitu itapnga utazani inavuta bangi . itauza sura kwa tv . watu hawataki kitu kipyaaaaaa....loiih
 
suala la kucopy mfumo ni vizur kama unatija na maendeleo sio mbaya kuufanyia kaz
alaf elimu imeletwa na wao kwann tusitumie mfumo wanaotumia?
 
akili ya kiafrika ni kuendelea kutawaliwa,hii inaonyesha ni jinsi gani tusivyokuwa na uhuru wa kimawazo..bado ni watumwa wakubwa,kila kitu kama UK au US!!aaagrrrrhhhhh!
Copy the basics and get them right first before you can think of inventing complexities for implementation. Ikiwa wataka kujenga gari aina jipya lutumialo mkojo au tuseme moshi wa sigara badala ya mafuta, you'll need to first copy from them how to build roads, Kisha uige jinsi ya kujenga an aerodynamic body kabla ya kuingiza baadae engine itumiayo mkojo au moshi wa sigara.
 
Back
Top Bottom