Wanawake na wanyamaze katika kanisa maana hawana ruhusa kunena bali watii kama vile inenavyo Torati nayo. Nao wakitaka kujifunza neno lolote, nawawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao, maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.(1 Wakorintho 14:34-35).
Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu. (1 Timotheo 2:12)
Yo Yo
kwa hilo samahani sana mkuu wanawake tumekandamizwa vya kutosha , sasa na sisi tunasimama kidedea.
mwanaume kaumbwa amtawale vema mwanamke.....sio kum piga wala kumnyanyasa.....kutoka kazini na kufika nyumbani kumpikia mumeo,kudeki,kufua sio unyanyasaji......Nyie wanaume mnafuata mpango wa Mungu?
Yo Yo vipi...?...na wewe umeshakuwa bongolala....? huishi chit chat siku hizi....kulikoni....?
Lizzy umeona huo mstari?
Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu. (1 Timotheo 2:12)
mwanaume kaumbwa amtawale vema mwanamke.....sio kum piga wala kumnyanyasa.....kutoka kazini na kufika nyumbani kumpikia mumeo,kudeki,kufua sio unyanyasaji......
mwanamke na akae nyumbhani kulea watoto sio kila siku semina haziishi hyatt hotel......unyanyasaji mnaosemema nyie ni majukumu yenu ambayo sasa hivi hamyataki kabisa......mko busy sana......mnasahau waume zenu ambao ndio maboss wenu duniani hapa......
mwanamke hapa duniani mumewe ni kama mungu wake...ndio anaemuongoza kwenye kila kitu......
wapendeni waumje zenu kama waume zenu wanavyowapendeni.......pia someni biblia na kuran mpate uelewa wenye hekima
Nyie wanaume mnafuata mpango wa Mungu?
Huyo Timotheo si mwanaume ulitegemea aandike nini kama sio kujipendelea mwenyewe, na wewe unazidi kujipendelea tu
Kwi kwi kwi....umenikumbusha thread ya Yo Yo aliyotuita bongolala....ubinadamu kazi kweli kweli.