ESS UTUMISHI
hv wanaona watumishi kuwa yumbisha kwenye mfumo walio uleta ni raha sana .Maana waziri hajatoka kuongea chochote .Ila matokeo yake yataonekana tu maana ufanisi wa kazi una pungua sana .mtu ana waza kikokotoo . Na sasa wameongeza na ESS .
.
Nimewaza kwanini ? Wahadhiri na madoctor wanaacha kazi mama na kuingia kwenye siasa kumbe wamegundua huko kuna una fuu mkubwa maana tu una lipwa kiinua mgongo mamilion. Wakati mwalimu anasumbuka na chaki tu.
ESS imeletwa kuwa sumbua wafanyakazi tu.Maana mfumo wameuleta bila kujipanga vizuri.Sasa badala wakubari kuanza upya hawataki