MFUMO ESS

MFUMO ESS

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
161
Reaction score
297
Mbona kama huu mfumo wa ESS Wengi hatujui kutumia....

Elimu ya Namna ESS inafanya kazi ilipita kweli?

Na vipi majaribio ya ya matumizi yake yako sahihi kweli?

Au Tunatumia mfumo ilimradi liende 🙌
 
Umeanza kuutumia lini mkuu?
Mbona kama huu mfumo wa ESS Wengi hatujui kutumia....

Elimu ya Namna ESS inafanya kazi ilipita kweli?

Na vipi majaribio ya ya matumizi yake yako sahihi kweli?

Au Tunatumia mfumo ilimradi liende 🙌
 
Mm ipo kwenye hatua ya kwanza toka mwenzi wa saba mwishoni.Hadi leo haiendi hatua ya pili .Maana bank wenyewe wana niambia teyari imekwenda hatua ya pili teyari ila kwangu bado iko hatua ya kwanza tu .
 
ESS UTUMISHI
hv wanaona watumishi kuwa yumbisha kwenye mfumo walio uleta ni raha sana .Maana waziri hajatoka kuongea chochote .Ila matokeo yake yataonekana tu maana ufanisi wa kazi una pungua sana .mtu ana waza kikokotoo . Na sasa wameongeza na ESS .
.
Nimewaza kwanini ? Wahadhiri na madoctor wanaacha kazi mama na kuingia kwenye siasa kumbe wamegundua huko kuna una fuu mkubwa maana tu una lipwa kiinua mgongo mamilion. Wakati mwalimu anasumbuka na chaki tu.

ESS imeletwa kuwa sumbua wafanyakazi tu.Maana mfumo wameuleta bila kujipanga vizuri.Sasa badala wakubari kuanza upya hawataki
 
Mm ipo kwenye hatua ya kwanza toka mwenzi wa saba mwishoni.Hadi leo haiendi hatua ya pili .Maana bank wenyewe wana niambia teyari imekwenda hatua ya pili teyari ila kwangu bado iko hatua ya kwanza tu .
Wewe ndo hujui kuutumia na iruhusu iende utumishi hatua ya pili maana haiwezi kwenda hadi we uacept
 
Attachments

  • Screenshot_20250813_100039_Chrome.jpg
    Screenshot_20250813_100039_Chrome.jpg
    165.2 KB · Views: 34
Back
Top Bottom