Wakereketwa wenzangu vipi kuhusu lile swala la mfuko wa taifa wa bima ya afya? Huu ndio wakati muafaka wa kufichua uzembe , ulaji wa pesa za wafanyakazi wenye kipato kidogo na unyanyasaji unaondelea pale ndani na nje ya ofisi. Tumepata baadhi ya nyaraka za kusapoti malalamishi yetu kwa rais. Nipeni mchango wenu.